Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nchi iko kwenye state of emergence wengine hatujui? Kwani kumetokea nini hadi kutangazwe hali hiyo? Kuna Vita? Kuna njaa? Au kipi kilichosababisha hali hiyo ya hatari?Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.
Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.
Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?
Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Now i know............Huyu ni mmoja wa Covid 19
Ni vizuri ukapitia uelewa wako upya! Hali ya hatari haitangazwi kienyeji namna hiyo. Hali ya hatari hutangazwa kwa presidential decree iliyo sainiwa na Rais ambayo husimamisha katiba. Katiba ikisimamishwa maana yake bunge haliwezi kufanya kazi. Jeshi na polisi husimamia nchi na kuwa na mahakama za jeshi.Mawili
1. Kutamka kuwa uchumi umeshuka toka GDP ya 6.8 hadi 4.8 ni tangazo la hali ya hatari katika sekta ya uchumi bila shaka
2. Kuna njia mbili za kutangaza hali ya hatari (1) kupitia Ikulu na Bungeni kama hatari inahusi nchi yote na sekta zote au (2) kupitia ikulu pekee kama namba (1) haihusiki
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.
Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.
Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?
Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Ahsante nina hakika umeelewa kikatiba mahitaji ya state of Emergency declaration.Tayari nimesoma
Hali ya hatari katika sekta ya uchumi ..... hii mpya!!Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.
Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.
Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?
Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Hali ya hatari katika sekta ya uchumi ..... hii mpya!!
Ni vizuri ukapitia uelewa wako upya! Hali ya hatari haitangazwi kienyeji namna hiyo. Hali ya hatari hutangazwa kwa presidential decree iliyo sainiwa na Rais ambayo husimamisha katiba. Katiba ikisimamishwa maana yake bunge haliwezi kufanya kazi. Jeshi na polisi husimamia nchi na kuwa na mahakama za jeshi.
Kwa sasa hatujafika huko bali ni matamko ya kisiasa yanayoendelea yasiyokuwa na nguvu za kisheria!
Mkuu, siyo kuksriri... Yaani yoka uchumi wa kati mwaka jana mpaka hali ya hatari kwenye sekta.... Na hapo haukuwa na lockdown. Wewe ndiye inabidi ucjanganye na zako...!!Tuitafakari pamoja. Zama za kukariri zimepita
2. Hilo la kusema atangaze hali ya hatari "kwa sekta ya uchumi", hayo mamlaka hana. Kama yapo sema wapi yanapatikana
Mjinga wewe! Sheria gani inasema hali ya hatari katika sekta ya uchumi! Nimegundua unabisha bila elimu au wewe ni mbishi wa kuzaliwa!Tangazo la hali ya hatari ktksekta ya uchumi haliko hivyo. Acheni kukariri.
The president powers are do not come from his/her imagination, there are specified. Declaration of state of emergency is not a trivial matter, it effectively turns a republic to a monarchy; that's why there is a rigid process to do so, and the process has checks; that declaration can even be revoked, if the people's house deems it unnecessary and without merit.Person A is at liberty to peeform action X in the presence of Y to if there is no legal rule which says that A should not do action X. The president is at liberty to declare a state of emergency in the economic sector per se for this reason
Mjinga wewe! Sheria gani inasema hali ya hatari katika sekta ya uchumi! Nimegundua unabisha bila elimu au wewe ni mbishi wa kuzaliwa!
Sibishani na watu walio na mtindio wa akili!Soma emwrgency powers act tutaelewana tu
Sibishani na watu walio na mtindio wa akili!
Sitaki umalaya wako kunifuata PM UKOME NA ULEGEEHakuna upumbavu mkubwa kama huu: kuacha hoja na kuanza kumshambulia mleta hoja.
So you assume you are mature enough not to distinguish between state of emergency and political proclamation!If you can not distinguish between an argument and an arguer what makes you think that you are mentally fit for rational debates? You appear to have a premature brain
Rais ametangaza hali ya hatari katika sekta ya afya. Kwa kufanya hivyo, amesitisha vifungu vya katiba juu ya uhuru wa watu kwenda popote watakako na kukusanyika. Hajaomba ridhaa ya Bunge katika hili. Amekasimisha utekelezaji wa hali ya hatari katika sekta tya afya kwa Waziri wa Afya. Hujashangaa maamuzi haya. Rais akifanya hivyo katika sekta ya uchumi unashagaa nini?The president powers are do not come from his/her imagination, there are specified. Declaration of state of emergency is not a trivial matter, it effectively turns a republic to a monarchy; that's why there is a rigid process to do so, and the process has checks; that declaration can even be revoked, if the people's house deems it unnecessary and without merit.
Usifanye mchezo na kutangaza hali ya hatari