Swali kwa Dkt. Hosea: Rais Samia hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika?

CCM wakisikia neno''KATIBA MPYA'' matumbo yanaanza kuunguruma na kukimbilia msalani kupunguza gesi/choo chembamba.Hii kitu ''KATIBA MPYA'' kwao ni hatari kuliko hata bomu la nyuklia🤣🤣🤣
 
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.

Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.

Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?

Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Kumbe nchi iko kwenye state of emergence wengine hatujui? Kwani kumetokea nini hadi kutangazwe hali hiyo? Kuna Vita? Kuna njaa? Au kipi kilichosababisha hali hiyo ya hatari?
 
Mawili

1. Kutamka kuwa uchumi umeshuka toka GDP ya 6.8 hadi 4.8 ni tangazo la hali ya hatari katika sekta ya uchumi bila shaka

2. Kuna njia mbili za kutangaza hali ya hatari (1) kupitia Ikulu na Bungeni kama hatari inahusi nchi yote na sekta zote au (2) kupitia ikulu pekee kama namba (1) haihusiki
Ni vizuri ukapitia uelewa wako upya! Hali ya hatari haitangazwi kienyeji namna hiyo. Hali ya hatari hutangazwa kwa presidential decree iliyo sainiwa na Rais ambayo husimamisha katiba. Katiba ikisimamishwa maana yake bunge haliwezi kufanya kazi. Jeshi na polisi husimamia nchi na kuwa na mahakama za jeshi.

Kwa sasa hatujafika huko bali ni matamko ya kisiasa yanayoendelea yasiyokuwa na nguvu za kisheria!
 
Hebu acha KUKURUPUKA!!! Kusema uchumi umeshuka ni kutangaza hali ya hatari!? Tangu lini!? 😳 Eti ná wewe ni mwanasheria!!!
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.

Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.

Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?

Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
 
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.

Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.

Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?

Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Hali ya hatari katika sekta ya uchumi ..... hii mpya!!
 
Ni vizuri ukapitia uelewa wako upya! Hali ya hatari haitangazwi kienyeji namna hiyo. Hali ya hatari hutangazwa kwa presidential decree iliyo sainiwa na Rais ambayo husimamisha katiba. Katiba ikisimamishwa maana yake bunge haliwezi kufanya kazi. Jeshi na polisi husimamia nchi na kuwa na mahakama za jeshi.

Kwa sasa hatujafika huko bali ni matamko ya kisiasa yanayoendelea yasiyokuwa na nguvu za kisheria!

Tangazo la hali ya hatari ktksekta ya uchumi haliko hivyo. Acheni kukariri.
 
2. Hilo la kusema atangaze hali ya hatari "kwa sekta ya uchumi", hayo mamlaka hana. Kama yapo sema wapi yanapatikana

Person A is at liberty to perform action X in the presence of Y if there is no legal rule which says that A should not do action X. The president is at liberty to declare a state of emergency in the economic sector without consulting the parliament
 
Tangazo la hali ya hatari ktksekta ya uchumi haliko hivyo. Acheni kukariri.
Mjinga wewe! Sheria gani inasema hali ya hatari katika sekta ya uchumi! Nimegundua unabisha bila elimu au wewe ni mbishi wa kuzaliwa!
 
Person A is at liberty to peeform action X in the presence of Y to if there is no legal rule which says that A should not do action X. The president is at liberty to declare a state of emergency in the economic sector per se for this reason
The president powers are do not come from his/her imagination, there are specified. Declaration of state of emergency is not a trivial matter, it effectively turns a republic to a monarchy; that's why there is a rigid process to do so, and the process has checks; that declaration can even be revoked, if the people's house deems it unnecessary and without merit.

Usifanye mchezo na kutangaza hali ya hatari
 
Sibishani na watu walio na mtindio wa akili!

If you can not distinguish between an argument and an arguer what makes you think that you are mentally fit for rational debates? You appear to have a premature brain
 
Badala ya kufanya activities za kuchochea uchumi tunafanya mambo ambayo yanazidi kudidimiza uchumi.

Tozo mbali mbali.

Na restrictions kwenye mikusanyiko hii italeta madhara kwenye production

Tutegemee kuporomoka zaidi kiuchumi ila kama malengo ni kuifungua nchi basi tupunguze kuifunga .
 
If you can not distinguish between an argument and an arguer what makes you think that you are mentally fit for rational debates? You appear to have a premature brain
So you assume you are mature enough not to distinguish between state of emergency and political proclamation!

Idiot!
 
The president powers are do not come from his/her imagination, there are specified. Declaration of state of emergency is not a trivial matter, it effectively turns a republic to a monarchy; that's why there is a rigid process to do so, and the process has checks; that declaration can even be revoked, if the people's house deems it unnecessary and without merit.

Usifanye mchezo na kutangaza hali ya hatari
Rais ametangaza hali ya hatari katika sekta ya afya. Kwa kufanya hivyo, amesitisha vifungu vya katiba juu ya uhuru wa watu kwenda popote watakako na kukusanyika. Hajaomba ridhaa ya Bunge katika hili. Amekasimisha utekelezaji wa hali ya hatari katika sekta tya afya kwa Waziri wa Afya. Hujashangaa maamuzi haya. Rais akifanya hivyo katika sekta ya uchumi unashagaa nini?

Napendekeza kwamba: Aina za hali ya hatari inayoshughulikiwa na serikali inaweza kuangka katika senario mojawapo kwenye senario nne zinazopatikana kwa kujibu maswali yafuatayo:

1. Kuna hali ya hatari katika Taifa zima kijiografia? (Y/N)
3. Kuna hali ya hatari katika Sekta zote za maisha ya watu? (Y/N)

Ukitumia mchoro kufanya mchanganuo wa kimantiki kuhusu majibu ya maswali haya unapata senario nne zifuatazo:

1627546006587.png

Yaani:

  • emergencies that are geographically nationwide and affecting all sectors of human life (1);
  • emergencies that are nationwide and not confined to all sectors of human life (2);
  • emergencies that are not nationwide and affecting all sectors of human life (3);
  • emergencies that are not geographically nationwide and not confined all sectors of human life (4);

Kutokana na kinachosemwa kwenye Katiba ya nchi pamoja na mapokeo ya kiserikali nchini Tanzania, napendekeza kwamba, Rais analazimika kutafuta ridhaa ya Bunge kwa ajili ya options namba 1 na 3 pekee.

Halazimikikufanya hivyo kwa options namba 2 na 4.

Tangazo la hali ya hatari katika sekta ya afya limefanyika kwa msingi huu.

Ni vivyo hivyo kwa tangazio la hali ya hatari katika sekta ya uchumi.

Karibu
 
Back
Top Bottom