Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Shetani anatajwa kwenye maandishi matakatifu kuwa ni baba wa uongo, na tumeamini hivyo, lakini kuna vtu ambavyo shetani na makuwadi wake wa soķo huria wakiwemo manabii feki, wachungaji feki, mashehe wa mchongo, waganga na wachawi hawajawahi kuiiga.
1. Bikira kupata mimba bila mwanaume
2. Kumponya kipofu kwa kumpaka mate
3. Samaki wawili na mikate mitano kulisha watu elfu moja
4. Kugeuza maji kuwa divai
5. Kufufua wafu
6. Kumfanya samaki atoe hela
Na mingine mingi shetani baba wa uwongo ameshindwa kutengeneza feki yake
1. Bikira kupata mimba bila mwanaume
2. Kumponya kipofu kwa kumpaka mate
3. Samaki wawili na mikate mitano kulisha watu elfu moja
4. Kugeuza maji kuwa divai
5. Kufufua wafu
6. Kumfanya samaki atoe hela
Na mingine mingi shetani baba wa uwongo ameshindwa kutengeneza feki yake