Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ila ana uwezo wa kuuwa tu. Kwanini alipewa uwezo huo?Mungu alimpa uwezo wenye kikomo
Hana hata uwezo Wa kuumba pia
Enock Mwanyonga, alishawahi kufanya hii issue miaka ya 80 kule Mbeya, hadi leo naikumbuka ile nishaiAahaaaaa, unataka watu wakimbiwe makanisani enhe!?
Nakumbuka mwaka 2011 pale Singida General Hospital Kuna Mchungaji mmoja alilala amevimbiwa na makande yake akaota eti Bwana kamwagiza kwenda kufufua wafu pale hospitali I
Basi akawazoea maombi wake wa kanisani p,akawafungisha njaa Ili waombe wiki nzima,eti wakienda kuombea hizo maaiti zizinduke,aahaaaa
Waliomba mpaka makoao yakakauka,piga kelele toka asubuhi hadi jioni patupu
Ikabidi wale mortuary attendants kuwafukuza Ili kuwafichia aibu,ahaaaaa
Aahaaaaa,Kuna mtu alizinduka!?Enock Mwanyonga, alishawahi kufanya hii issue miaka ya 80 kule Mbeya, hadi leo naikumbuka ile nishai
Haha hahah haha Mungu amempenda zaidi, wewe ni nani hadi uyatengue mapenzi ya Mungu?Aahaaaaa,Kuna mtu alizinduka!?
Aahaaaaa,kazi kweli kweliHaha hahah haha Mungu amempenda zaidi, wewe ni nani hadi uyatengue mapenzi ya Mungu?
Haha hahaAahaaaaa,kazi kweli kweli