Swali kwa Mama Kanumba!

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,675
Reaction score
2,807
Wanajamvi,

Jana mama mzazi wa Marehem Steven Kanumba amenukuliwa na vyombo vya habari akisema "Mahakama imetenda haki" kwa kumhukumu kifungo cha miaka miwili kwa kuua bila kukusudia Elizabeth Michael.

Moral question kwa mama Kanumba je mtoto wake Steven Kanumba alikua anatenda haki kwa kuwa na mahusiano na Elizabeth Michael?
 
Lucky Dube
"The Other Side"

His name is Jackson
He lives in Jamaica
Every morning he comes down to the docks to watch the ships come and go
He's been here too long
Mental slavery has not touched him one bit
He still knows his history, he knows where he comes from
That is why he believes the ocean can give him answers
About the very very far home
That he's never been to. All his life he says
I wish I was home, I wish I was in Africa [x2]
I have seen his world
I've seen the other world. I have nothing to say
I put my coat on my shoulders
As I walked away, I heard myself sing
[Chorus:]
The grass is greener on the other side
Til you get there and see it for yourself [x3]

His name is Themba
He lives in Soweto
Every morning he goes to the airport to watch the planes come and go
He has changed his African name to a western one
Cause he doesn't know how it hurts to have a name
You can't be proud of. He hopes that one day
One of these birds of the sky can take him away
To a very very far land
Running away from the very roots
That so many black people in the world
Are wanting to come back. A place they call home
They wish they were home
They wish they were in Africa [x2]
I live in his world, I've seen the other world
I got nothing to say
I put my coat on my shoulders
As I walked away, I heard myself sing​
 
Yeye Mama kanumba kasema mahakama imetenda haki kwa hukumu iliyotolewa wala hajaongelea swala la uhusiano wa Kanumba na lulu
Halafu kuhusu lulu kuwa mtoto Hakimu alisema hivi nanukuu
"
Kuhusiana na umri mdogo wa Lulu wakati tukio hilo linatokea mwaka 2012, Jaji Rumanyika amesema sheria ya kumlinda mtoto haimpi kinga Lulu kwa sababu huo alikuwa akifanya mambo ya watu wazima."
 
Jaji kamaliza kila kitu bana sema sina nukuu yake hapa. Kama lulu alikua mtoto saa sita usiku kwa mwanaume na miadi ya club aliwezaje kuipanga. Je gari linaweza kuendeshwa na mtoto? Hakuna ubakaji hapo. Kilanga cha kukimbilia dyu dyu mapema kimemponza lulu
 
View attachment 630726Kugonga demu aliyekosa malezi anayeweza kupiga picha za namna hii hata akiwa na miaka 12 ni haki kabisa
Kwa watu wenye akili timamu huwa tunatafuta source ni nani aliyemharibu binti huyu ambaye labda angepata muongozo mzuri saa hizi angekuwa anahitimu degree ya pili?

Kwa akili yako kubwa unadhani ni nani alipaswa kuwa mlezi wa Lulu?

 
Lulu huenda akawa na matatizo yake kama binadamu wengine na simtetei kwa yaliyompata.
Najaribu kuangalia mazingira aliyopitia hasa kwenye tasnia ya uigizaji. Naweza kusema alikuzwa na kuwa mtu mzima kabla ya wakati wake. Kuna haja ya kuangalia upya ushiriki wa watoto kwenye haya mambo ili yasiwaathiri.

Wasanii wengi wanajikuta kwenye madawa sio kwa hiari, kuna kipindi wana fanyia shooting mazingira ambayo kiuhalisia hawawezi kumudu wala kumiliki, inawaachia stress na kuamua kujifariji kwa madawa
 
Wakati watu wanaseme embe bado libichi jamaa kala na chumvi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377]
 
Usitegemee wenye Team zao na waliodhurumiana mabwana huko mitaani kama wataelewa maneno mazito na yaliyoshiba hoja uliyoyaandika hapa.
 
Na akina screpa wanashau kwamba, watu hatujihusishi mapenzi na vischana vidogo si kwa sababu vinatukataa baada ya kupata malezi bora ya wazazi wao bali hatufanyi huo ujinga kwa sababu tunafahamu sisi ni watu wazima na katu hatutakiwi kuvirubuni vibinti vidogo zaidi ya kuvipigania.

Katika dunia ya leo hakuna malezi ya mzazi yanayoweza kuwafanya mabazazi washindwe kutekeleza ubazazi wao na kwahiyo kinga pekee ya watoto wadogo ni watu kutokuwa mabazazi, PERIOD!!

Jambo ambalo naweza kuwalaumu wazazi wa Lulu ni kumwacha mtoto mdogo awe anadhurula hadi usiku lakini hata kama wangedhibiti hilo la udhurulaji bado lisingemzuia marehemu kuwa na Lulu kwa sababu alikuwa na access nae kwa kila namna!! In short, Lulu was very vulnerable kwa Kanumba!

Tofauti ya umri kati yao ni takribani miaka 10! Na watu wanamwangalia Lulu wa sasa au yule wa 17 years bila kuangalia huyo Lulu ambae alirubunika kwa mara ya kwanza alikuwa na umri gani!!
 
Kwani aliyeshtakiwa ni Marehemu Kanumba au Lulu?ukitoa jibu utaelewa ulichokipost
 
Hili swali wazazi wa Lulu watakupa jibu mujaarabb!!
 
Umeongea kitu sahihi sana mkuu, kimsingi huyu mtoto alikua anashiwishiwa na mazee kufanya uchafu,pia wazazi wa Lulu hawakwepi lawama kwa makuzi ya mtoto wao,walimuacha ajiongoze wakati ni mtoto mdogo, inasikitisha Sana.
 
Big up mkuu, wacheck ushiriki wa watoto kwenye haya ma filamu yao hata music pia.
 
View attachment 630726Kugonga demu aliyekosa malezi anayeweza kupiga picha za namna hii hata akiwa na miaka 12 ni haki kabisa
Mkuu huna picha aliyogeukia huku ili nione vizuri kishungi chake kilivyokuwa kipindi kile[emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13]

Hata mimi najua kugonga binti aliyeshindwa malezi ya mzazi sio kosa ia kama angekuwa anasoma ndio kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…