Swali kwa Mama Kanumba!

Swali kwa Mama Kanumba!

You are in a Million - Heshima kwako Mkuu!!! Na ndio maana kuna mababa, au ndugu wa kiume wanaobaka hata kulawiti watoto wa kwenye familia zao 😡😡😡😡😡
Excellent example...! Watu wanashindwa kabisa kuangalia hizi degrees of vulnerability ambazo zimewazunguka mabinti wa aina zote!

Wasipokuwa vulnerable kwa wanaume washenzi wanaoishi nao humo humo ndani watakuwa vulnarable na majirani wanaoaminika na familia! Wasipokuwa vulnerable kwa majirani wanaoaminika na famiia, watakuwa vulnerable kwa ndugu na marafiki wa familia wanaoishi mbali na hapo! Huko kote wakisalimika, watakuwa vulnerable hata kwa walimu wao!!

Kumbe salama yao pekee ya kuaminika ni watu kuacha na kupinga ushenzi!
 
Back
Top Bottom