Swali kwa Mama Kanumba!

Swali kwa Mama Kanumba!

Wanajamvi,

Jana mama mzazi wa Marehem Steven Kanumba amenukuliwa na vyombo vya habari akisema "Mahakama imetenda haki" kwa kumhukumu kifungo cha miaka miwili kwa kuua bila kukusudia Elizabeth Michael.

Moral question kwa mama Kanumba je mtoto wake Steven Kanumba alikua anatenda haki kwa kuwa na mahusiano na Elizabeth Michael?
Lulu kipindi anagongwa na Marehemu alikuwa katimiza miaka 18 ...kumbuka zile kashfa za kumzuia kuingia kwenye kumbi za starehe na majibu ya mama yake kipindi kile ....

Hizo picha mnazotutumia ni Lulu akiwa analishwa vyema tayari kwa kuanza kuvunwa
 
Alafu itakuwa ni jambo la kheri kama mkisoma Judgment ya hii kesi ....maana Mahakama imegoma mtambua kama mtoto kwa kuzingatia matendo yake
 
Unaweza kukuta marehem alikuwa na kibamia wala hakumwaribu huyu binti
 
Ila Lulu naye alitafutia matatizo mwenyewe, alifanya birthday party ya kutimiza miaka 18 mwaka 2011 kabla hata ya kuwa na Kanumba.
Alikuwa ana Leseni ya gari na alikiwa anaendesha
Sasa hapo marehemu kosa lake nini?!
Inawezekana marehemu hadi anafariki alikiwa anajua Lulu ana miaka 18
Maana watu wamekuja kujua Lulu alikuwa mdogo baada ya matatizo.
Marehemu naye alidanganywa na Lulu.
Maana kwenye mapenzi hakuna kuulizana vyeti vya kuzaliwa.
Inawezekana mpenzi wako uliyenaye sasa amekudanganya umri na hujui.
Really? Seriously?

Kanumba+na+Lulu.jpeg
kanumba_akiri_mu_buzima_hamwe_na_lulu.jpg
 
Mbona mwaka huo alikua na miaka 19? Was she young? Kuna thread moja ilipostiwa humu inayothibitisha kwamba Lulu alikua na miaka 18 mwaka 2011 akihojiwa na zamaradi ktk take one.
Sasa where is that childish?
 
Mbona mwaka huo alikua na miaka 19? Was she young? Kuna thread moja ilipostiwa humu inayothibitisha kwamba Lulu alikua na miaka 18 mwaka 2011 akihojiwa na zamaradi ktk take one.
Sasa where is that childish?
Yes ipo hiyo clip...

Mwenyewe anathibitisha kuwa na 19 yrs

So mwakani Lulu anatimiza 25...na huo ndo uhalisia wa umri wake
 
Yeye Mama kanumba kasema mahakama imetenda haki kwa hukumu iliyotolewa wala hajaongelea swala la uhusiano wa Kanumba na lulu
Halafu kuhusu lulu kuwa mtoto Hakimu alisema hivi nanukuu
"
Kuhusiana na umri mdogo wa Lulu wakati tukio hilo linatokea mwaka 2012, Jaji Rumanyika amesema sheria ya kumlinda mtoto haimpi kinga Lulu kwa sababu huo alikuwa akifanya mambo ya watu wazima."
Alikuwa anafanya au anafanyishwa?
 
wazazi wa lulu ni wa kulaumiwa sana kwa yaliyotokea na kumfikisha binti yao hapa alipofikia, Lulu alikosa malezi instead akawa kama mzazi badala ya mtoto, imagine alianza kutegemewa na familia akiwa bado yuko shule kisa tu amekuwa muigizaji na tunajua kwenye huo uigizaji enzi hizo hakuna hela ya maana aliyokuwa anapata ikabidi mtoto aanze kutoka na mibaba ya kumpa hela na mama yake akawa kimya tu alimradi mkono unaenda kinywani, cha ajabu na kusikitisha zaidi mama lulu umri ulikuwa bado kabisa, na nguvu alikuwa anazo sio mlemavu wala si mzee wa kushindwa kufanya kazi, nashangaa ilikuaje akaamua kumfanya mtoto wake kitega uchumi na hajabadilika wala kujifunza mpaka leo lulu ndo kila kitu kwa familia anakuwa hadi na waume za watu mfano yule seki lakini mama mtu anaona poa tu cha msingi hela inaingia wanaishi kistaa, jamani alafu leo hii analia, analia nini sasa?
Umeandika sahihi...lulu mpaka kesho n8 tegemeo la familia. Anamsomesha mdogo wake na matumizi ya nyumbani.yeye ndo mama ndo baba.mzazi atasema nini? Watu wamesahau alipotoka garezani alitembea na mume wa mtu na huku akijua ni mume wa mtu(japo hata mwanaume alikua na kosa).lulu alionywa na kuombwa na mke wa marehemu lakini alimjibu mbovu na kebehi kibao.sasa huyu lulu aonewe huruma mara ngap wakatii hajifunzi?..atatoka huko yes.....ila atafanya the same mistakes kwa kua anapenda kuishi maisha tofauti na kazi yake.
 
Wanajamvi,

Jana mama mzazi wa Marehem Steven Kanumba amenukuliwa na vyombo vya habari akisema "Mahakama imetenda haki" kwa kumhukumu kifungo cha miaka miwili kwa kuua bila kukusudia Elizabeth Michael.

Moral question kwa mama Kanumba je mtoto wake Steven Kanumba alikua anatenda haki kwa kuwa na mahusiano na Elizabeth Michael?
Kanumba was right, What do you do when a whore comes to you?
 
Lulu aliehukumiwa jana sio yule alieuwa miaka ile, hii ni kwa sababu leo anaonekana mkubwa kimaumbile japo na kiumri kidogo, kanumba hakufanya kitu cha ubusara kabsa kumuaproach lulu kwa kipindi kile kumuhusisha kwenye mambo ya wakubwa.

Ukizama ndani zaid utasema sio kosa la kanumba maana aliachiwa uhuru kabsa kwa mtoto lulu, lakini je! Tuseme ingekuwa ni mtoto wake wa kumzaa hata angepewa uhuru wa kulala nae(lulu) chumba kimoja angediriki kufanya alioyafanya kwa lulu?

Kanumba alikosea na kosa litabaki pale pale japo ametangulia mbele za haki.

Kuhusu hukumu iliotendeka jana ni ya haki japo tunapaswa kumuonea huruma lulu maana haya anayopitia ni kutokana na huyo marehemu kanumba, laiti isingekuwa yeye now lulu tungemsikia kwa vingine na sio visa hivi.

All in all Mungu ailaze mahala pema roho ya kanumba pia ampe ujasiri lulu kwa kipindi hiki kigumu kwake.
 
Ila Lulu naye alijitafutia matatizo mwenyewe, alifanya birthday party ya kutimiza miaka 18 mwaka 2011 kabla hata ya kuwa na Kanumba.
Alikuwa ana Leseni ya gari na alikiwa anaendesha
Sasa hapo marehemu kosa lake nini?!
Inawezekana marehemu hadi anafariki alikiwa anajua Lulu ana miaka 18
Maana watu wamekuja kujua Lulu alikuwa mdogo baada ya matatizo.
Marehemu naye alidanganywa na Lulu.
Maana kwenye mapenzi hakuna kuulizana vyeti vya kuzaliwa.
Inawezekana mpenzi wako uliyenaye sasa amekudanganya umri na hujui.
Huwa hawasemi ukweli mkuu cha msingi umtafune naye haja yake hatimize period
 
Back
Top Bottom