Swali kwa Mama Kanumba!


Sijajua kisheria hii kauli kwamba alikua mtoto lakini anafanya mambo ya watu wazima imemaanisha nini?

Kinachoamua utoto wa mtu ni matendo au umri? Hapo tunaangalia kwa upande wa kisheria. Mtu mzima anaweza kufanya mambo ya kitoto akaepushiwa hukumu kwamba ni mtoto licha ya umri wake?
 
Elizabeth alikuwa na nyege zimemponza.
 
You are in a Million - Heshima kwako Mkuu!!! Na ndio maana kuna mababa, au ndugu wa kiume wanaobaka hata kulawiti watoto wa kwenye familia zao 😡😡😡😡😡
 
Basi hata huyo aliyekufa naye kafa kwa kilanga chake cha kutembea na mabaunsa. Shida za kimaisha zinawaponza wengi...Lulu naye ana mama vile vile
 
Jaji kwenye kesi ya Lulu amemuhukumu nyoka aliyetengenezwa na wazazi wake, Kanumba na sekta nzima ya filamu na muziki nchini Tanzania, ambayo kwa hakika inatumia mtindo ule ule wa Hollywood na Bollywood wa kuwanajisi na kuwachambwaga chambwaga mastaa wake kabla hawajakwea hizo ngazi za ustaa. Namlilia Mwajuma wa kwenye nyimbo yetu ya utotoni.
 
She is alive and health. After two years she will have kids (may Allah bless her) and grand children. What about the other.
He is dead and long forgotten,and maybe enjoying eternal life,who knows?kosa lake kwa mungu wake sio moja,ana wema wake naye.Lulu hakusikia la mkuu sasa amevunjika guu.Beleve me namuhurumia sana lakini sisi huwa tunatafuta matatizo sana na hatusikii.Lulu alikuwa hasikii,ukiangalia record yake ya kashafa zangono utashagaa kama ana wazazi au hana.
 
Wazazi wake wakuwa wapi kumruhusu mtoto mdogo kutangatanga....hivi lulu amemaliza kidato cha NNE!?akiwa na umri gani
 
Mambo unayofanya mtoto wako hukumu hupewi wewe sio Duniani hata mbinguni.
 
Kwa niaba ya mama Kanumba naomba kukuulizwa swali! Kanumba alimbaka Lulu? Je, alikuwa ashalala nae? Una uhakika hakuwa 18+ ?
 
Ila Lulu naye alijitafutia matatizo mwenyewe, alifanya birthday party ya kutimiza miaka 18 mwaka 2011 kabla hata ya kuwa na Kanumba.
Alikuwa ana Leseni ya gari na alikiwa anaendesha
Sasa hapo marehemu kosa lake nini?!
Inawezekana marehemu hadi anafariki alikiwa anajua Lulu ana miaka 18
Maana watu wamekuja kujua Lulu alikuwa mdogo baada ya matatizo.
Marehemu naye alidanganywa na Lulu.
Maana kwenye mapenzi hakuna kuulizana vyeti vya kuzaliwa.
Inawezekana mpenzi wako uliyenaye sasa amekudanganya umri na hujui.
 
wazazi wa lulu ni wa kulaumiwa sana kwa yaliyotokea na kumfikisha binti yao hapa alipofikia, Lulu alikosa malezi instead akawa kama mzazi badala ya mtoto, imagine alianza kutegemewa na familia akiwa bado yuko shule kisa tu amekuwa muigizaji na tunajua kwenye huo uigizaji enzi hizo hakuna hela ya maana aliyokuwa anapata ikabidi mtoto aanze kutoka na mibaba ya kumpa hela na mama yake akawa kimya tu alimradi mkono unaenda kinywani, cha ajabu na kusikitisha zaidi mama lulu umri ulikuwa bado kabisa, na nguvu alikuwa anazo sio mlemavu wala si mzee wa kushindwa kufanya kazi, nashangaa ilikuaje akaamua kumfanya mtoto wake kitega uchumi na hajabadilika wala kujifunza mpaka leo lulu ndo kila kitu kwa familia anakuwa hadi na waume za watu mfano yule seki lakini mama mtu anaona poa tu cha msingi hela inaingia wanaishi kistaa, jamani alafu leo hii analia, analia nini sasa?
 
Kesi iliyokuwa mahakamani si ya kuwa na mahusiano ilikuwa ya mauaji! Subiri amalize kifungo chake kisha umshauri amfungulie kanumba kesi ya kuwa na mahusiano naye!
 
Dah....hizi ishu mbili tofauti...umejichanganya[emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…