Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Lulu kipindi anagongwa na Marehemu alikuwa katimiza miaka 18 ...kumbuka zile kashfa za kumzuia kuingia kwenye kumbi za starehe na majibu ya mama yake kipindi kile ....Wanajamvi,
Jana mama mzazi wa Marehem Steven Kanumba amenukuliwa na vyombo vya habari akisema "Mahakama imetenda haki" kwa kumhukumu kifungo cha miaka miwili kwa kuua bila kukusudia Elizabeth Michael.
Moral question kwa mama Kanumba je mtoto wake Steven Kanumba alikua anatenda haki kwa kuwa na mahusiano na Elizabeth Michael?
2011 Lulu alifanya sherehe ya kutimiza 18...Swali zuri, na ukizingatia kipindi hicho mtuhumiwa alikuwa under 18
Kama alikuwa anaaga anaenda kwenye scene ya usiku ulitaka wazazi wafanyaje na yeye ndiye boss nyumbani?Wazazi wake wakuwa wapi kumruhusu mtoto mdogo kutangatanga....hivi lulu amemaliza kidato cha NNE!?akiwa na umri gani
Really? Seriously?Ila Lulu naye alitafutia matatizo mwenyewe, alifanya birthday party ya kutimiza miaka 18 mwaka 2011 kabla hata ya kuwa na Kanumba.
Alikuwa ana Leseni ya gari na alikiwa anaendesha
Sasa hapo marehemu kosa lake nini?!
Inawezekana marehemu hadi anafariki alikiwa anajua Lulu ana miaka 18
Maana watu wamekuja kujua Lulu alikuwa mdogo baada ya matatizo.
Marehemu naye alidanganywa na Lulu.
Maana kwenye mapenzi hakuna kuulizana vyeti vya kuzaliwa.
Inawezekana mpenzi wako uliyenaye sasa amekudanganya umri na hujui.
[emoji26]Unaweza kukuta marehem alikuwa na kibamia wala hakumwaribu huyu binti
Haaaaa haaaa ....hisia zako banaUnaweza kukuta marehem alikuwa na kibamia wala hakumwaribu huyu binti
Yes ipo hiyo clip...Mbona mwaka huo alikua na miaka 19? Was she young? Kuna thread moja ilipostiwa humu inayothibitisha kwamba Lulu alikua na miaka 18 mwaka 2011 akihojiwa na zamaradi ktk take one.
Sasa where is that childish?
Alikuwa anafanya au anafanyishwa?Yeye Mama kanumba kasema mahakama imetenda haki kwa hukumu iliyotolewa wala hajaongelea swala la uhusiano wa Kanumba na lulu
Halafu kuhusu lulu kuwa mtoto Hakimu alisema hivi nanukuu
"Kuhusiana na umri mdogo wa Lulu wakati tukio hilo linatokea mwaka 2012, Jaji Rumanyika amesema sheria ya kumlinda mtoto haimpi kinga Lulu kwa sababu huo alikuwa akifanya mambo ya watu wazima."
Really? Seriously?
Hii picha ya 2008 movie "the lost twins"
View attachment 630829
Hii ya 2009 movie " Family tears"View attachment 630830
Wazazi wakeKwa watu wenye akili timamu huwa tunatafuta source ni nani aliyemharibu binti huyu ambaye labda angepata muongozo mzuri saa hizi angekuwa anahitimu degree ya pili?
Kwa akili yako kubwa unadhani ni nani alipaswa kuwa mlezi wa Lulu?
View attachment 630741View attachment 630742
Dah...Unaweza kukuta marehem alikuwa na kibamia wala hakumwaribu huyu binti
Umeandika sahihi...lulu mpaka kesho n8 tegemeo la familia. Anamsomesha mdogo wake na matumizi ya nyumbani.yeye ndo mama ndo baba.mzazi atasema nini? Watu wamesahau alipotoka garezani alitembea na mume wa mtu na huku akijua ni mume wa mtu(japo hata mwanaume alikua na kosa).lulu alionywa na kuombwa na mke wa marehemu lakini alimjibu mbovu na kebehi kibao.sasa huyu lulu aonewe huruma mara ngap wakatii hajifunzi?..atatoka huko yes.....ila atafanya the same mistakes kwa kua anapenda kuishi maisha tofauti na kazi yake.wazazi wa lulu ni wa kulaumiwa sana kwa yaliyotokea na kumfikisha binti yao hapa alipofikia, Lulu alikosa malezi instead akawa kama mzazi badala ya mtoto, imagine alianza kutegemewa na familia akiwa bado yuko shule kisa tu amekuwa muigizaji na tunajua kwenye huo uigizaji enzi hizo hakuna hela ya maana aliyokuwa anapata ikabidi mtoto aanze kutoka na mibaba ya kumpa hela na mama yake akawa kimya tu alimradi mkono unaenda kinywani, cha ajabu na kusikitisha zaidi mama lulu umri ulikuwa bado kabisa, na nguvu alikuwa anazo sio mlemavu wala si mzee wa kushindwa kufanya kazi, nashangaa ilikuaje akaamua kumfanya mtoto wake kitega uchumi na hajabadilika wala kujifunza mpaka leo lulu ndo kila kitu kwa familia anakuwa hadi na waume za watu mfano yule seki lakini mama mtu anaona poa tu cha msingi hela inaingia wanaishi kistaa, jamani alafu leo hii analia, analia nini sasa?
Kanumba was right, What do you do when a whore comes to you?Wanajamvi,
Jana mama mzazi wa Marehem Steven Kanumba amenukuliwa na vyombo vya habari akisema "Mahakama imetenda haki" kwa kumhukumu kifungo cha miaka miwili kwa kuua bila kukusudia Elizabeth Michael.
Moral question kwa mama Kanumba je mtoto wake Steven Kanumba alikua anatenda haki kwa kuwa na mahusiano na Elizabeth Michael?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lazima dogo ayumbeMtoto anaenda kukutana na miguberi imeshindikana unafikiri akili yake itakua ya kawaida?
Huwa hawasemi ukweli mkuu cha msingi umtafune naye haja yake hatimize periodIla Lulu naye alijitafutia matatizo mwenyewe, alifanya birthday party ya kutimiza miaka 18 mwaka 2011 kabla hata ya kuwa na Kanumba.
Alikuwa ana Leseni ya gari na alikiwa anaendesha
Sasa hapo marehemu kosa lake nini?!
Inawezekana marehemu hadi anafariki alikiwa anajua Lulu ana miaka 18
Maana watu wamekuja kujua Lulu alikuwa mdogo baada ya matatizo.
Marehemu naye alidanganywa na Lulu.
Maana kwenye mapenzi hakuna kuulizana vyeti vya kuzaliwa.
Inawezekana mpenzi wako uliyenaye sasa amekudanganya umri na hujui.