Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Upendo hauna mipaka,kuwa na watoto sio kikwazo cha wao kuolewa.Ulirogwa ukiwa wapi hadi uoe mwenye watoto?
ahahah mkuu, mapenzi ni zaidi ya kurogwa!Ulirogwa ukiwa wapi hadi uoe mwenye watoto?
Hakuna mgogoro usiotatulikaHivi unanunuaje shamba lenye mgogoro?
utavumilia dharau miaka yote?Vumila hayo ni maisha .
Ushauri...? (haijalishi kuwa ni mimi)Mchuma janga, hula na wa kwao....mwenda tezi na omo, marejeo ngamani...bila taswhishwi na kumung'unya maneno kama umeshamuoa basi umeyakanyaga
Kwani unaishi naye kwako au unaishi kwake? Yote kwa yote mzalishe upate wa kwako watakupa faraja.utavumilia dharau miaka yote?
Ushauri...? (haijalishi kuwa ni mimi)
Asante mkuu, nawe pole sana,. Malezi ya Hawa watoto Kuna mahala yalikosewa, ndo tatizo lilianza hapoNdg zangu ambao hatujuani mliomo humu, na wanachama wengne wote,
hope mko vizuri.
bila mambo mengi naomba nifanye kilichonileta hapa:
je siku watoto wa mkeo wakianza kukudhihaki na kukudharau kwa namna yoyote, utachukua hatua gani?
kama hali hiyo iliwahi kukutokea ulifanya nini?
Jamani tusaidiane haya mambo yapo na yataendelea kuwepo..
Mkuu PLO, tuko pamoja bega kwa bega.
nmeulza tu kwa faida ya wengne..Asante mkuu, nawe pole sana,. Malezi ya Hawa watoto Kuna mahala yalikosewa, ndo tatizo lilianza hapo