Topic closed.Tume huru ikitengenezwa bila hujuma na uchaguzi ukawa
1. Huru
2. Wa haki
Nakuhakikishia sisiem (ccm) kwa kila ngazi haitavuka 20%
1. Urais sio zaid ya 20%
2. Ubunge sio zaid ya 20%
3. Udiwani sio zaid ya 20%
Nakuhakikishia utakuwa mwisho wa chama kinaitwa ccm Tanzania na duniani.
Sisiem hii (ccm) imejificha kwa
-usalama wa tifa
- polisi
- jeshi (ndio maana wanapostaafu wanapewa ubalozi, ukuu wa mikoa, uenyeviti wa board nk)
Kumbe unajua sababu afu unauliza? Anyway, kwa mazingira ya sasa ya kisiasa ndani ya nchi yetu kama tume itakuwa huru basi kuna uwezekano ccm ikaponea chupuchupu (yaani ikawa na 52% bungeni) au ikapigwa na kubaki na minority bungeni. Ukiweka tume huru ya uchaguzi wale waliozoea kubebwa watapata tabu sanaKwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na majority bungeni?
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru, japo sio Shirikishi!, it's independent but not inclusive!.Swali langu ni hili.....
Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na majority bungeni?
Pascal aliuliza swali hili....
Elections 2020 - Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.
Nimem address Pascal but nimewalenga wadau wa itikadi husika wote - karibuni mtiririke!
nimekusoma mkuu.Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru, japo sio Shirikishi!, it's independent but not inclusive!.
Hili tumelizungumza sana humu hadi hoja zenu nikazipeleka NEC na zikajibiwa!.
Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais
TV Prog. Alert: Tume ya Uchaguzi, NEC, Yajibu Hoja za JF Kuhusu Uchaguzi Huru na Wa Haki!.
Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru
Japo umegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, ulikuwa huru na wa haki!. Hongera CCM, CHADEMA poleni!. Mungu saidia Tz
TV Program Alert: Msidanywe na Wanasiasa Kuhusu Uchaguzi Mkuu: Ulikuwa Huru na wa Haki!. Shuhudia!
Pascal Mayalla aipigia debe NEC Nanenane
P
mimi najua jibu. nimemchagiza tu Pascal ajibu relative to swali lake ambalo niliona liko lopsided in favour of serekali inayoongozwa na mzee baba ngosha.Kumbe unajua sababu afu unauliza? Anyway, kwa mazingira ya sasa ya kisiasa ndani ya nchi yetu kama tume itakuwa huru basi kuna uwezekano ccm ikaponea chupuchupu (yaani ikawa na 52% bungeni) au ikapigwa na kubaki na minority bungeni. Ukiweka tume huru ya uchaguzi wale waliozoea kubebwa watapata tabu sana
Swali langu ni hili.....
Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na majority bungeni?
Pascal aliuliza swali hili....
Elections 2020 - Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.
Nimem address Pascal but nimewalenga wadau wa itikadi husika wote - karibuni mtiririke!
Hata mpewe tume huru,hawa jamaa hamuwawezi wana pesa,na watz tuna njaa