Swali kwa Pascal Mayalla: Je inawezekana CCM kuogopa Tume Huru ya Uchaguzi inaogopa kupoteza kiti cha Urais na majority bungeni?

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
Swali langu ni hili.....

Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na majority bungeni?

Pascal aliuliza swali hili....
Elections 2020 - Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.

Nimem address Pascal but nimewalenga wadau wa itikadi husika wote - karibuni mtiririke!
 
Tundu Lissu atawapasua Kichwa Pascal Mayalla na Chama Chake pendwa iwapo tume Huru Itakubalika. Na ukweli ni kwamba Kilichowafanya baadhi ya "Wapinzani" Kuamia kwa Chama pendwa Ni Kuogopa tikitaka za Chama Pendwa, zile za Kupata Ushindi wa Mezani." Refer Marudio ya Uchaguzi kwa Majimbo waliojiengua wabunge na Pia Uchaguzi wa serikali za mitaa" Tume Huru Ni Mwiba Pascal Mayalla na Chama Chake, na hichi Kitu hawataki Kukisikia Kabisa .
 
Tume huru ikitengenezwa bila hujuma na uchaguzi ukawa
1. Huru
2. Wa haki

Nakuhakikishia sisiem (ccm) kwa kila ngazi haitavuka 20%
1. Urais sio zaid ya 20%
2. Ubunge sio zaid ya 20%
3. Udiwani sio zaid ya 20%

Nakuhakikishia utakuwa mwisho wa chama kinaitwa ccm Tanzania na duniani.

Sisiem hii (ccm) imejificha kwa
-usalama wa tifa
- polisi
- jeshi (ndio maana wanapostaafu wanapewa ubalozi, ukuu wa mikoa, uenyeviti wa board nk)
 
Topic closed.
 
Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na majority bungeni?
Kumbe unajua sababu afu unauliza? Anyway, kwa mazingira ya sasa ya kisiasa ndani ya nchi yetu kama tume itakuwa huru basi kuna uwezekano ccm ikaponea chupuchupu (yaani ikawa na 52% bungeni) au ikapigwa na kubaki na minority bungeni. Ukiweka tume huru ya uchaguzi wale waliozoea kubebwa watapata tabu sana
 
Swali langu ni hili.....

Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na majority bungeni?

Pascal aliuliza swali hili....
Elections 2020 - Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.

Nimem address Pascal but nimewalenga wadau wa itikadi husika wote - karibuni mtiririke!
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru, japo sio Shirikishi!, it's independent but not inclusive!.

Hoja ya msingi na yenye mashiko kwangu ni the political playing field ya the game of politics in Tanzania, is not level kutokana na sheria mbovu ya uchaguzi!. Issue sio tume ni sheria.
Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law! Kuendelea Kuitumia ni Ujinga? Kuwabebesha Masikini Gharama za Uchaguzi ni Dhambi!

Hili Tume kuwa huru, tumelizungumza sana humu hadi hoja zenu nikazipeleka NEC na zikajibiwa!.

Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais

TV Prog. Alert: Tume ya Uchaguzi, NEC, Yajibu Hoja za JF Kuhusu Uchaguzi Huru na Wa Haki!.

Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

Japo umegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, ulikuwa huru na wa haki!. Hongera CCM, CHADEMA poleni!. Mungu saidia Tz

TV Program Alert: Msidanywe na Wanasiasa Kuhusu Uchaguzi Mkuu: Ulikuwa Huru na wa Haki!. Shuhudia!

Pascal Mayalla aipigia debe NEC Nanenane

P
 
Kumbe unajua sababu afu unauliza? Anyway, kwa mazingira ya sasa ya kisiasa ndani ya nchi yetu kama tume itakuwa huru basi kuna uwezekano ccm ikaponea chupuchupu (yaani ikawa na 52% bungeni) au ikapigwa na kubaki na minority bungeni. Ukiweka tume huru ya uchaguzi wale waliozoea kubebwa watapata tabu sana
mimi najua jibu. nimemchagiza tu Pascal ajibu relative to swali lake ambalo niliona liko lopsided in favour of serekali inayoongozwa na mzee baba ngosha.
 
Swali langu ni hili.....

Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na majority bungeni?

Pascal aliuliza swali hili....
Elections 2020 - Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.

Nimem address Pascal but nimewalenga wadau wa itikadi husika wote - karibuni mtiririke!
 
Hata mpewe tume huru,hawa jamaa hamuwawezi wana pesa,na watz tuna njaa

Fedha inapotumika ndivo sivo ndipo
1. Tume huru hufanya maamuzi sahihi
2. Mahakama huru hufanya maamuzi sahihi

Rushwa ni aduwi wa haki, matumizi yoyote ya fedha nje ya utaratibu ni rushwa.

Na kwasababu tume na mahakama zinawajika kwa anayeziteua, uhuru haupo.
 
Ni kujificha kwa upinzani chini ya tume huru lakini bado upinzani una safari ndefu kushinda uchaguzi tz uhalisia tunauona ila kwa upande wa z'bar bila buti upinzani unaweza kushinda
 
Back
Top Bottom