Huyu jamaa kwa sasa, amekuwa ni mmoja wa watu wa hovyo sana kwenye siasa za Tanzania, enzi za Mwamba, JPM, jamaa alikuwa very strong politician, nilimuoja ni mmoja wa mashujaa, Chadema walipohukumiwa faini, JPM akatoa pesa akamtuma Msigwa, wakamlipia faini, Msigwa na Mashinji tuu, Mashinji aliishamfuata Ngosha mwenzake, wakitegemea na Msigwa akitoka ange cross, jamaa akatoka, akashukuru kulipiwa faini, kisha akakomaa kusalia Chadema, huu ni ushujaa, fedha za Msigwa zikamlipia Heche!.You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.
Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM?
NAOMBA jibu
Kitendo cha Mch. Msigwa kurejea Chadema, huu ni uthibitisho, huyu ni mwanasiasa kama anavyoelezewa na Baba wa Taifa, Mwalimu NyerereWanabodi,
3. The Survivals wenye Njaa Wanaotaka Kushibishwa!.
Hawa ni wanasiasa wanaoingia kwenye siasa ili tuu kusaka fursa, kwao siasa ndio ajira yao, tatizo lao ni njaa, hivyo wako tayari kufanya lolote ali mradi mkono uende kinywani. Hawa wanaitumikia siasa kwa kutumia the law of the jungle ambapo ni "struggle for existence, survival is for the fittest". Hivyo wanasiasa wa aina hii, lengo lao ni survival tuu, ili kusavive, moja ya sifa zao kuu ni kujikomba komba sana, na siku wakihama, hutukana sana kule walikotoka. Hawa ni kama mwanamke mala.. anayejiuza, hawezi kumkataa mteja yoyote alimradi amefika bei!.
Wengi wa hawa wabunge na madiwani wanaojitoa Chadema na kuhamia CCM, ni kundi la hawa wanasiasa njaa, wanaofanya biashara ya umala...wa kisiasa. kinachowakimbiza Chadema sio siasa bali ni njaa tuu za uoga wa 2020, hivyo ni kama wanawake mala.. wanaojiuza miili, kuna baadhi wametongozwa au kujitongozesha kwa tamaa tuu ya dau dogo la kushawishiwa ikiwemo kuhongwa ahadi za wao kusimamishwa tena kuwa wagombea wa CCM katika uchaguzi wa marudio, au chaguzi zijazo. Wanasiasa wa aina hii mimi niliwaita ni wanasiasa mala.. wa kisiasa, ni wanasiasa wa hovyo, sababu zilizowafanya wahame, sio kingine ni umala.. tuu wa kisiasa!.
Paskali.
😃😄😄😆😅😂 Kwanini Pascal MayallaHuyu jamaa ni mmoja wa watu wa hovyo sana
Siwezi! You are very correct!Labda Dhamira yake, mauaji ya oktoba 29 yalikuwa ya kutisha, mfano wewe umuone ndugu yako mama, dada, kaka, mjomba wako akipigwa risasi mbele yako na mwajiri wako utavumilia.
Hawezi kucha mlo mnene kama huo inahitaji vipaji kama vya akina Lisu na Mandela kuwa hivyoAaah wapi! Au kwa mfano angeteuliwa kuwa mbunge na kupewa uwaziri wa maliasili na utalii! 😎
Leo ndo mmeona??Huyu jamaa ni mmoja wa watu wa hovyo sana
AbsolutelyHuyu jamaa ni mmoja wa watu wa hovyo sana
Swali muhimu sana, kimsingi amekosa ulaji ameamua kuonesha hasira zake kwao kwa kurejea kambi aliyoinyea.You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.
Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM?
NAOMBA jibu
Soma pia
Ina maana ameamua kurudia ujinga. Ni muhimu kuwa na akiba ya maneno au wazala wanasema usinene ukamala. Lowassa alikuwa smart sana alipotoka CCM hakuisema vibaya na aliporudi hakuisema vibaya Chadema alisemamaneno mawili tu 'nimerudi nyumbani'. Ona aibu hii sasaHuyu jamaa ni mmoja wa watu wa hovyo sana
Kiinglish kikikukataa kikataeYou were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.
Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM?
NAOMBA jibu
Soma pia
Hawa ni aina ya watu ambao hawana shughuli nyingine za kuwaingizia kipato zaidi ya siasa. Huwezi kumweka katika kundi la watu wenye fikra za kumkomboa mwananchi wa kawaida dhidi ya Serikali nyonyaji na vandalizing. Huyu ni mchumia tumbo. Aliahidi kuzunguka nchi nzima kuisema Vibaya CHADEMA na ati leo anarejea na kuitwa KAMANDA.Ina maana ameamua kurudia ujinga. Ni muhimu kuwa na akiba ya maneno au wazala wanasema usinene ukamala. Lowassa alikuwa smart sana alipotoka CCM hakuisema vibaya na aliporudi hakuisema vibaya Chadema. Ona aibu hii sasa
Kwema mkuu,Huyu jamaa ni mmoja wa watu wa hovyo sana
Kwenye vyama kuna wapiga kelele kama wewe ambao hawana maamuzi yoyote ndani ya vyama vyao, halafu kuna wanachama hawana kelele ila ndio wenye maamuzi ndani ya vyamaYou were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.
Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM?
NAOMBA jibu
Soma pia
Na kweli aliinyea! Tena kuiharishiaSwali muhimu sana, kimsingi amekosa ulaji ameamua kuonesha hasira zake kwao kwa kurejea kambi aliyoinyea.
Stupid!Kiinglish kikikukataa kikatae
You were one of my favourite politicians, however measured. Ndicho sahihi