Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

Korona sio suala la Tundu Lissu bali wewe na familia yako. Korona ni suala la afya, ila kwa akili za kuokoteza na MATAGA, mmegeuza kuwa ishu ya kisiasa.
 
wewe im

Itakulaza wewe unayeamini ipo.wewe imekulaza? ndugu yako gani imemlaza tupe jina mahali aliopkuwa akiishi na hospitali alikatokomea na kifo tuhakiki kama kafa kwa Corona
Usiumize watu vichwa na uhaba wako wa ufahamu. Hiyo wizara ya afya inahangaika nini kuhamasisha ufukizaji na kunywa madawa ya kienyeji kama hakuna ugonjwa?

Peleka ujinga mbele..
 

MIE SIO MSHABIKI WA SIASA ZA TZ BUT KUNAPICHA ALIONEKANA AMEVAA AU KAZIWEKA CHINI YA KIDEVU, ANYWAY YOTE NA YOTE MUNGU ATATULINDA NA JANGA HILI


 

Vipi jombi swali lako lingalipo? Zingatia mzee baba alisema corona hamna, ilikwisha, aaaah aah ipo kidogo tu.

Kwenye hizo labda alimaanisha ni multiple choice. Wewe wachagua ipi?
 
Mmm! Mbona unatia shaka uwezo wako wa kufikiri.
Kwani wote wanaofanya ngono na wenye ukimwi wanapata ukimwi! Kwani wote wanaokula chakula chenye sumu kwenye shughuri wanakufa!
 
wewe im

Itakulaza wewe unayeamini ipo.wewe imekulaza? ndugu yako gani imemlaza tupe jina mahali aliopkuwa akiishi na hospitali alikatokomea na kifo tuhakiki kama kafa kwa Corona
Mkuu hebu acha kujitoa ufahamu basi japo hata kidogo tu.
 
Lissu mwenzako anapata chanjo. Anaendelea na maisha jali maisha yako. Watu wapo hospitali wanaumwa wewe unaweka siasa
 
Korona ipo

Mpo kwenye denial....

Only CCM na few fake leaders running this illegitimate government out of 60mil people in TZ are denial eti hakuna corona
Kipindi cha kampeni wote mliungana mnaosema corona ipo na wenye kuamini corona haipo wote mlikuwa kitu kimoja haikujulikana nani anaamini corona ipo na yupi anaamini haipo,sasa baada ya uchaguzi kuisha ndio mnarudi kubishana tena.

Hao viongozi wa serikali pamoja na ccm kwa ujumla walikuwa na tofauti gani na viongozi wa upinzani wakati ule wa kampeni kwenye hii issue ya corona? ulikuwa unaweza kuwatofautisha?
 
OK kwa hiyo alitoka eneo la Corona FREE la Tanzania ambako CORONA hakuna alikokuwa havai barakoa toka kuingia nchini..
Kama corona haipo Tanzania, mbona Jana tu jiwe kahimiza wananchi kuchukua tahadhari ya corona ikiwemo kujifukiza?!!!

 
Swali lako ni la kijinga ktk karne hii sijapata sikia kwani ni sawa na mtu aulize kuwa inawezekana vipi mwanamke apate mimba bila kunyanduliwa

Hii sasa inaitwa "ustake ncheke."

Ama hakika mwatuchekesha sasa. Ati nini?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anayetamani wafe ni yule anayewadnganya tatizo halipo kumbe lipo na yeye anajua lipo.
Believe me wapinzan hawajielewi, ata wangejihadhari bado wangepinga kujihadhari, hamna kazi rahisi dunian kama kupinga
 
Anatumika kama toilet paper
 
Aliyoingia kwenye siasa amekuwa mtu wa ajabu sana..
 

Vipi mtoa mada. Bado unasimama na uzi wako? Habari hii kwa wenye akili yaweza kuokoa maisha:



Ni heri wao wenye kujali maisha hata ya wasio wafahamu.
 
Nonsense!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…