Nonsense!
Kwani ikiwa havai si nifaida kwako/kwenu ili afikwe ni madhara?Njia gani ya kujikinga? distancing alikuwa hafanyi, mikona alikuwa akipeana na watu kama kawaida hadi kukubatiana huku akiwa anazongwa na watu kila kona!
Kwani ikiwa havai si nifaida kwako/kwenu ili afikwe ni madhara?
Sasa kinachokuuma kwamba havai/hakuvaa barakoa kipindi chá kampeni nini?
Umiongoni mwa wanaomtakia mabaya na hata kutoa kauli za kumuua leo unakuja na utumbo wa vijineno vya kipumbavu.
Kwa nini jiwe haijamkamata na waliochini yake ili mpunguze hizi kejeli na dharau. Corona nenda juu huko Kwa jiwe na wote waliohusika na madhila machafu Kwa wananchi.
Waulizwe AngolaNauliza yeye kwa nini hakuwa akivaa barakoa kama Corona ipo? viongozi walikuwa hawavai barakoa sababu wanajua haipo yeye anayesema ipo na wakati hakuwa akivaa barakoa yeye na familia yake ndie nataka ajibu.
Viongozi hawavai barakoa na walikuwa hawavai na hata sasa hawavai .Yeye ndiye ajibu anasemaje ipo wakati barakoa alikuwa havai?
Mkuu kwani Serikali si ilisema Covid-19 imeisha?Nauliza yeye kwa nini hakuwa akivaa barakoa kama Corona ipo? viongozi walikuwa hawavai barakoa sababu wanajua haipo yeye anayesema ipo na wakati hakuwa akivaa barakoa yeye na familia yake ndie nataka ajibu.
Viongozi hawavai barakoa na walikuwa hawavai na hata sasa hawavai .Yeye ndiye ajibu anasemaje ipo wakati barakoa alikuwa havai?
Kwahiyo unataka kutuambia haipo? ila Tundu Lissu ndiyo anasema ipo? Hujapotelewa na ndugu Rafiki bora kukaa kimya wakati mwingine, huwezi hata ona kwamba sasa hivi imeongezeka ukilinganisha na kipindi unachosema wakati wa uchaguzi? wakati mwingine tuache siasa kwenye maswala seriousTundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa.
Alipokuwa akiondoka nchini kurudi ubelgiji akiwa Airport ndio akavaa barakoa ya kuondoka nayo kwenda Ubelgiji.
Swali kwake, Kama Corona ipo Tanzania kwa nini toka alipoingia Tanzania na kipindi Chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa na hakuugua Corona yeye na umati wote ule uliokuwa unafurika mikutano yake?
Nadhani hata wazungu sasa watamuona hayuko sawa na kuwa taarifa zake si za kuaminika na yeye si wa kuaminika, akiwa Tanzania anakuwa kivingine akiwa kwao kivingine.
Kwani kuvaa barakoa ndo kinga thidi ya maambukizi ya corona.Nauliza yeye kwa nini hakuwa akivaa barakoa kama Corona ipo? viongozi walikuwa hawavai barakoa sababu wanajua haipo yeye anayesema ipo na wakati hakuwa akivaa barakoa yeye na familia yake ndie nataka ajibu.
Viongozi hawavai barakoa na walikuwa hawavai na hata sasa hawavai .Yeye ndiye ajibu anasemaje ipo wakati barakoa alikuwa havai?
Kwahiyo ilikuwa sahihi kukusanyana vile kwenye mikutano ya kampeni kwa hoja ya kwamba corona imepungua?Kwahiyo unataka kutuambia haipo? ila Tundu Lissu ndiyo anasema ipo? Hujapotelewa na ndugu Rafiki bora kukaa kimya wakati mwingine, huwezi hata ona kwamba sasa hivi imeongezeka ukilinganisha na kipindi unachosema wakati wa uchaguzi? wakati mwingine tuache siasa kwenye maswala serious
WEwe kweli mbweha.Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa.
Alipokuwa akiondoka nchini kurudi ubelgiji akiwa Airport ndio akavaa barakoa ya kuondoka nayo kwenda Ubelgiji.
Swali kwake, Kama Corona ipo Tanzania kwa nini toka alipoingia Tanzania na kipindi Chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa na hakuugua Corona yeye na umati wote ule uliokuwa unafurika mikutano yake?
Nadhani hata wazungu sasa watamuona hayuko sawa na kuwa taarifa zake si za kuaminika na yeye si wa kuaminika, akiwa Tanzania anakuwa kivingine akiwa kwao kivingine.
Uongo wako haulipi wanafunzi wa bweni na day wanapiga masomo kawa kawaida kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu
Daladala kujazana kama kawa bila barakoa wala nini
Maisha yanaendelea mitaani masokoni kawaida
Hujaelewa hoja yangu na sina haja ya kukujibu, uwe unatafakali kabla huja ibuka na kuandika bila kufikilia vizuri!Kwahiyo ilikuwa sahihi kukusanyana vile kwenye mikutano ya kampeni kwa hoja ya kwamba corona imepungua?
Hujaelewa hoja yangu na sina haja ya kukujibu, uwe unatafakali kabla huja ibuka na kuandika bila kufikilia vizuri!
Anajibiwa tundu kwa sababu yeye ndio anadanganya kila siku huko ulaya, hata kama ipo sasa kwa nini hakuonyesha mfano wa tahadhali alipokuwa tanzania?Kwani YEHODAYA . Corona (Covid 19) haipo Tanzania? Kwani aibu ya nini na Corona haijaanzia Tanzania?!
Tundu ndiyo unaemuona? Waulize viongozi wenye dhamana wamewaandaa wananchi namna gani.
Waulize wengine waliofanya dhihaka na Corona, leo wanajuta.
Kweli wewe ni Nazgur . waTz lazima tujute sana kwa kuiletea Corona dharau na siasa . Corona pamoja na maombi lakini inahitaji hatua za ki sayansi. Si mambo kijima na kishirikina .Anajibiwa tundu kwa sababu yeye ndio anadanganya kila siku huko ulaya, hata kama ipo sasa kwa nini hakuonyesha mfano wa tahadhali alipokuwa tanzania?
Alitaka nani aonyeshe mfano zaidi yake ambae alikuwa ni kiongozi kwa chama hicho wakatibakifanya mikusanyikonbila kuwapabtahadhali?
Nadhani anagejuwa makini kama anavyotaka kudanganya basi angefanya mikutano yake kwa kutumia mitandao na video conference.
Ni mapungufu ya akiri aliyo nayo na ndio maana haelewi nini hasa anamaanisha.
Kweli wewe ni Nazgur . waTz lazima tujute sana kwa kuiletea Corona dharau na siasa . Corona pamoja na maombi lakini inahitaji hatua za ki sayansi. Si mambo kijima na kishirikina .
By the way rudi shule ujifunze kuandika vizuri
Corona inakula vichwa ipendavyo subiri utafikiwa direct au indirect.Kwani wewe umeugua mara ngapi hiyo corona?
Au unapenda saana corona iuwe watu ndo ujisikie vizuri?
Hya kwa mawazo yako sema unataka serikari ifanyeje ili ulidhike?
Toa wazi lako hapa