Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

Njia gani ya kujikinga? distancing alikuwa hafanyi, mikona alikuwa akipeana na watu kama kawaida hadi kukubatiana huku akiwa anazongwa na watu kila kona!
Kwani ikiwa havai si nifaida kwako/kwenu ili afikwe ni madhara?

Sasa kinachokuuma kwamba havai/hakuvaa barakoa kipindi chá kampeni nini?

Umiongoni mwa wanaomtakia mabaya na hata kutoa kauli za kumuua leo unakuja na utumbo wa vijineno vya kipumbavu.

Kwa nini jiwe haijamkamata na waliochini yake ili mpunguze hizi kejeli na dharau. Corona nenda juu huko Kwa jiwe na wote waliohusika na madhila machafu Kwa wananchi.
 
Eeh mola wetu ukazisikie Dua zetu.
 
Nauliza yeye kwa nini hakuwa akivaa barakoa kama Corona ipo? viongozi walikuwa hawavai barakoa sababu wanajua haipo yeye anayesema ipo na wakati hakuwa akivaa barakoa yeye na familia yake ndie nataka ajibu.

Viongozi hawavai barakoa na walikuwa hawavai na hata sasa hawavai .Yeye ndiye ajibu anasemaje ipo wakati barakoa alikuwa havai?
Waulizwe Angola
 
Swali fikurishi ,Hivi kwanini hao wanaotoa chanjo ya korona kama korona wanaikinga kwa nini watuigope sisi tusiochanjwa?
 
Nauliza yeye kwa nini hakuwa akivaa barakoa kama Corona ipo? viongozi walikuwa hawavai barakoa sababu wanajua haipo yeye anayesema ipo na wakati hakuwa akivaa barakoa yeye na familia yake ndie nataka ajibu.

Viongozi hawavai barakoa na walikuwa hawavai na hata sasa hawavai .Yeye ndiye ajibu anasemaje ipo wakati barakoa alikuwa havai?
Mkuu kwani Serikali si ilisema Covid-19 imeisha?
 
Mleta hoja vua hilo shuka la upumbavu ulilojifunika ndio uone kinachoendelea. Sidhani kama kuna ushirikiano kati ya akili yako na vidole. Au inawezekana akili yako ni ndogo sana sana.
 
Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa.

Alipokuwa akiondoka nchini kurudi ubelgiji akiwa Airport ndio akavaa barakoa ya kuondoka nayo kwenda Ubelgiji.

Swali kwake, Kama Corona ipo Tanzania kwa nini toka alipoingia Tanzania na kipindi Chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa na hakuugua Corona yeye na umati wote ule uliokuwa unafurika mikutano yake?

Nadhani hata wazungu sasa watamuona hayuko sawa na kuwa taarifa zake si za kuaminika na yeye si wa kuaminika, akiwa Tanzania anakuwa kivingine akiwa kwao kivingine.
Kwahiyo unataka kutuambia haipo? ila Tundu Lissu ndiyo anasema ipo? Hujapotelewa na ndugu Rafiki bora kukaa kimya wakati mwingine, huwezi hata ona kwamba sasa hivi imeongezeka ukilinganisha na kipindi unachosema wakati wa uchaguzi? wakati mwingine tuache siasa kwenye maswala serious
 
Nauliza yeye kwa nini hakuwa akivaa barakoa kama Corona ipo? viongozi walikuwa hawavai barakoa sababu wanajua haipo yeye anayesema ipo na wakati hakuwa akivaa barakoa yeye na familia yake ndie nataka ajibu.

Viongozi hawavai barakoa na walikuwa hawavai na hata sasa hawavai .Yeye ndiye ajibu anasemaje ipo wakati barakoa alikuwa havai?
Kwani kuvaa barakoa ndo kinga thidi ya maambukizi ya corona.
 
Tena alikuwa akila ovyo vyakula vya njiani bila tahadhari
[emoji116]
FB_IMG_1600678780810.jpg
 
Kwahiyo unataka kutuambia haipo? ila Tundu Lissu ndiyo anasema ipo? Hujapotelewa na ndugu Rafiki bora kukaa kimya wakati mwingine, huwezi hata ona kwamba sasa hivi imeongezeka ukilinganisha na kipindi unachosema wakati wa uchaguzi? wakati mwingine tuache siasa kwenye maswala serious
Kwahiyo ilikuwa sahihi kukusanyana vile kwenye mikutano ya kampeni kwa hoja ya kwamba corona imepungua?
 
Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa.

Alipokuwa akiondoka nchini kurudi ubelgiji akiwa Airport ndio akavaa barakoa ya kuondoka nayo kwenda Ubelgiji.

Swali kwake, Kama Corona ipo Tanzania kwa nini toka alipoingia Tanzania na kipindi Chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa na hakuugua Corona yeye na umati wote ule uliokuwa unafurika mikutano yake?

Nadhani hata wazungu sasa watamuona hayuko sawa na kuwa taarifa zake si za kuaminika na yeye si wa kuaminika, akiwa Tanzania anakuwa kivingine akiwa kwao kivingine.
WEwe kweli mbweha.

Kwa hiyo unasema CORONA haipo? Pumbavu kweli kweli.
Hujui hata kwamba kuna mlipuko mpya? Mbweha halisi.

Unaleta upumbavu kwenye uhai wa binadamu? Pimbi mkubwa.
 
Uongo wako haulipi wanafunzi wa bweni na day wanapiga masomo kawa kawaida kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu

Daladala kujazana kama kawa bila barakoa wala nini

Maisha yanaendelea mitaani masokoni kawaida

Kwahiyo ilikuwa sahihi kukusanyana vile kwenye mikutano ya kampeni kwa hoja ya kwamba corona imepungua?
Hujaelewa hoja yangu na sina haja ya kukujibu, uwe unatafakali kabla huja ibuka na kuandika bila kufikilia vizuri!
 
"....huwezi hata ona kwamba sasa hivi imeongezeka ukilinganisha na kipindi unachosema wakati wa uchaguzi?"
 
Hukunielewa toka mwanzo! maana yangu ilikua kumuongelea Tundu Lissu kwenye issue ya Corona ni Ujinga na propaganda za kizamani za mtoa hoja wa kwanza,soma hoja yake vizuri utaelewa. Mtoa hoja ni kana kwamba anataka kutuambia haipo ila Lissu ni mzushi na sijui kwanini anamzungumzia Lissu hapa wakati sioni sababu yeyote ya kimsingiz zaidi ya propaganda za kizamani sana.
 
Kwani YEHODAYA . Corona (Covid 19) haipo Tanzania? Kwani aibu ya nini na Corona haijaanzia Tanzania?!

Tundu ndiyo unaemuona? Waulize viongozi wenye dhamana wamewaandaa wananchi namna gani.

Waulize wengine waliofanya dhihaka na Corona, leo wanajuta.
Anajibiwa tundu kwa sababu yeye ndio anadanganya kila siku huko ulaya, hata kama ipo sasa kwa nini hakuonyesha mfano wa tahadhali alipokuwa tanzania?
Alitaka nani aonyeshe mfano zaidi yake ambae alikuwa ni kiongozi kwa chama hicho wakatibakifanya mikusanyikonbila kuwapabtahadhali?

Nadhani anagejuwa makini kama anavyotaka kudanganya basi angefanya mikutano yake kwa kutumia mitandao na video conference.

Ni mapungufu ya akiri aliyo nayo na ndio maana haelewi nini hasa anamaanisha.
 
Kweli wewe ni Nazgur . waTz lazima tujute sana kwa kuiletea Corona dharau na siasa . Corona pamoja na maombi lakini inahitaji hatua za ki sayansi. Si mambo kijima na kishirikina .

By the way rudi shule ujifunze kuandika vizuri
 
Kwani wewe umeugua mara ngapi hiyo corona?
Au unapenda saana corona iuwe watu ndo ujisikie vizuri?
Hya kwa mawazo yako sema unataka serikari ifanyeje ili ulidhike?
Toa wazi lako hapa

Corona inakula vichwa ipendavyo subiri utafikiwa direct au indirect.
 
Back
Top Bottom