Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

M
Corona inakula vichwa ipendavyo subiri utafikiwa direct au indirect.
Mbona husemi ukimwi wala kansa na maleria, hayo yote wewe hujaguswa nayo umeona corina tu?

Hata hao wazungu kwa sasa hawatagazi idadi ya waokufa kika siku unadhani ni kwa nini?
Jitambue ndugu.
Ukimwi unawafyeka kila siku humu lakini kwa kuwa ugonjwa hauwahusu wazungu wala hamjapiga kerere.
 
Nani kakwambia ukivaa barakoa ndo upo safe.Ishu ya corona utegemeana na ustrong wa Kinga zako za mwili
 
Si kwamba ukimwi hauwafyeki wenzetu Wana elimu ya kutosha ya afya kuliko sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…