Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
M
Hata hao wazungu kwa sasa hawatagazi idadi ya waokufa kika siku unadhani ni kwa nini?
Jitambue ndugu.
Ukimwi unawafyeka kila siku humu lakini kwa kuwa ugonjwa hauwahusu wazungu wala hamjapiga kerere.
Mbona husemi ukimwi wala kansa na maleria, hayo yote wewe hujaguswa nayo umeona corina tu?Corona inakula vichwa ipendavyo subiri utafikiwa direct au indirect.
Hata hao wazungu kwa sasa hawatagazi idadi ya waokufa kika siku unadhani ni kwa nini?
Jitambue ndugu.
Ukimwi unawafyeka kila siku humu lakini kwa kuwa ugonjwa hauwahusu wazungu wala hamjapiga kerere.