hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Ulikuwa una lala nae? Sio kila jambo ujifanye unajua, mambo mengine kaa kimya tuNjia gani ya kujikinga? distancing alikuwa hafanyi, mikona alikuwa akipeana na watu kama kawaida hadi kukubatiana huku akiwa anazongwa na watu kila kona!