Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Hata mimi wakaka weusi warefu nawazimia mno ila nikiona kama huyu udenda huwa unanitoka: si mwembamba wala tipwa tipwa, mwili wake umejengeka kiasi, awe amenyoa nywele na ndevu vizuri, awe anajua kuvaa (si suruali za kushonesha mwenge zinalingana toka juu mpaka chini halafu chini zina upindo flani hivi). Nikikutana na aliyevaa kiofisi shati la mikono mirefu, linabanabana halafu mikono kaikunja halafu awe ananukia vizuri haki ya nani mapigo ya moyo yanabadilika. Akivaa casual t-shirt na pensi au chochote kinachoonyesha anajua kuchagua nguo mimi nafurahiiii hata kama hajui kuna mtu kama mimi. Nikipata bahati ya kumkaribia nikagundua ana akili na kaucheshi kidogo aisee mengine ntauliza mwakani.
 
haya haya tena sasa ivi utasikia sawa za kua mrefu zinauzwa
 
Hapo ndio tambuen kuwa akili ya mwanamke inayumbishwa kama upepo yaan kama ilivyo papuchi yao haijulikan ipo upande gan, nyuma ipo mbele ipo kat kat ipo. Leo kavutiwa na six pack kesho atakwambie love garden, atakuja kukwambia mweupe ndio dili baadaye atakwambia mweusi...... Hawa viumbe wa ajabu sana yaan ukipata chance we piga na kutupa kapun halafu endelea kutafuta wengne:canada:
 


eeh bwana tusiseme taste zetu?

Nyie mkisema mbona si tunaona sawa?

Tall dark men, we love youuuuuu.
 

Ukishamaliza mwakani pass him over to me jamani:eyebrows:
 

No, what I mean is I like a man who is a little mysterious. Not someone I know everything about within the blink of an eye. Its not about having an open mind.
 
Hamna kitu kama hicho.

Haya mambo ya kukariri yanasababisha unrealistic expectations.

That is the truth mkuu, but one factor can not used to judge, there are many of them used to judge the size of mgegedo.
 
Hapo we mwanaume ndo mrefu na mweusi, unakuta vidada vyeusi na vifupi vina kung'ang'ania kama nini, shit, i just use and dump them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…