Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Not so fast umbuje,taja kimo chako kwanza na rangi ya ngozi yako then utaambiwa kama ubaki au uongoze njia tu kwenda kwenye magari!!

Okay mi ni 180CM umbuje.....rangi maji ya kunde...enhe?
 

UREFU huo unaanzia futi ngapi??? maanake huku kwetu mtu mwenye futi 5 inch 5 ndio mrefu anatubadilishia bulb zikiunguwa.
 
Nani kasema???????
Yaani kaka ni kuchanganya na za kuambiwa hapo au la unalala nje na watakucheka hawa hawa kina Karucee, msweet na Cyan6 tena kwa kejeli kuwa unadhani urefu na rangi ndiyo inatunza mwanamke mjini hapa!!!!!????


You are very right OLESAIDIMU.... Kumbe umestuka mapema eeee Baelezee vizuri Kaizer asibweteke.... mjini hapa...:juggle:
 
Nilipoteza hesabu Cyan6, ivi how many now?

Isack Shayo idadi ni kubwa mno! Sijawahi ona thread inashabikiwa kama hii! Sasa tulivo wengi na nyie mko wachacheee sijui itakuwaje lol!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…