Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,134
haya..... Husninyo, Cyan6, Karucee, Heaven on Earth, Ennie, OLESAIDIMU....hebu mnambie hapa kuna diskasheni gani na kama nafit kuwepo kwenye mjadala.....kama sio, niende zangu kwenye magari.:juggle:
Not so fast umbuje,taja kimo chako kwanza na rangi ya ngozi yako then utaambiwa kama ubaki au uongoze njia tu kwenda kwenye magari!!