M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Hahahaa...no wonder tunajaa gym!
Mkuu, tutake radhi mapemaa..
eeh bwana tusiseme taste zetu?
Nyie mkisema mbona si tunaona sawa?
Tall dark men, we love youuuuuu.
Kama unataka jibu la kisayansi na kisaikolojia.....wanawake huwa wanapenda kufeel small na protected mbele ya men; the taller and bigger the man, the smaller the female, afu pia darker colour is psychologically associated with increased strength na security. Sijui umeona asa hapo....
Courtesy of some internet article....
Nimesubiri PM weeeee lakini sioni! Au ndiyo vile vitabia vyenu vya kuringa? Nawajua! Soma aafu ufute!
Umeonaeee? Changanya na zako!
In fact.... Tall, dark, handsome men..... We adore youuuuu...... cc Karucee Kaizer OLESAIDIMU :juggle:
radhi gani unataka?
Vp kuhusu nywele za kifuani
And Kaizer never changes, does he? U have some weed? I need some....
Na ni ugonjwa hasaaaaaaa. Manake hadi concentration huwa inapotea. Soooo yummy I could eat 'em whole!! Halafu asiwe kimbao kimbao.
Hommie chapchap sana hebu nambie wewe na hizi nditoz Karucee na Heaven on Earth mnadiskashen makitu gani kwenye weupe na ufupi wangu??
Nijibu fasta kabla sijaanza safari ya kwenda Harare. Kule network ni ya mgao kama umeme wa TANESIKOO.
Wote hao ni #teamwarefuweusi ss je hommie unafit...maana wamesema.apa wanakupa bureee kabisa. Mimi nimetoka kapa sina vigezo wallah
Cc Karucee Heaven on Earth
Kwani mada hapa ilikuwa kitanda? Cyan6?