Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Weupe ndo ugonjwa wangu akiwa mrefu basi inakuwa poa!
Ongeza awe mweusi ili tuendane mambo mawili. Cha kwanza bange. Haya malizia mwanamme mrefu------
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weupe ndo ugonjwa wangu akiwa mrefu basi inakuwa poa!
Hawajionagi inferior mkuu siku zote wanajiona superior nafikir hii ni kwa ajili ya defensive mechanism... ni mtazamo wangu lakini
Heheheheh
Natania mkuu,siamini chochote zaidi ya Mungu.
na kwanini hupendi wanaume waongeaji sana? wanakuboa au nini sababu
Mwanaume mrefu alafu awe chocolate color were acha tu jamani Mungu anajua kupendelea!
black americans,
they have something so sweet for ladies!
Pimbi ndo nani na sani ndo nini?
Naturally mie sio muongeaji sana, uwa naboreka kua na mtu anayeongea sana hasa in relationship.. I hate that mkuu
Mimi ni mrefu mweupe hb, ni pm upate raha.
its more than appearance that am looking into a man
Tall,dark!!
Haya.
Inaonekana umri wako ni mdogo sana jarida la sani kulikuwa kuna Dr Love Pimbi, komredi kipepe, profesa ndumilakuwili, sokomoko, Betina, Mzee Ole na wengineo, wakubwa wenzangu hapa nitakuwa nimewakumbusha mbali, pole bibie hapa JF tunajichanganya watu wa umri tofauti.
Naniii zao zina afya nzuri
sorry kwa maswali.. wadada wengi wanapenda wanaume wenye pesa... unalizungumziaje hili?
Kiukweli mie ni mrefu mweusi wa kung'aa na unene kwa mbali kidogo. Huwa nasumbuliwa sana na wadada. Wengi hata tunakutana barabarani utasikia wanasema mkaka handsome kama wapo wawili au zaidi.
Hiyo nimefuatilia ninkweli dada zetu wanapenda sana watu wa namna hiyo.
what happened??I used to like tall men