luqmand
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 219
- 38
sawa nimekupata.. kati ya kupenda na kupendwa kipi unakihitaji zaidi..
Napenda kupendwa aisee sababu napendeka na nnapenda pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa nimekupata.. kati ya kupenda na kupendwa kipi unakihitaji zaidi..
Hahahahahaaha... mbona nimekua muwazi mkuu, shida anayonipa ma short boyfriend imenifanya nichukie wanaume wafupi, thou sio wote ila wengi wao wanawivu, selfish na wanajiona superior not like tall men wapo very understandable
Khaaa! kwani huwaga wanajiona wafupi basi?
Napenda kupendwa aisee sababu napendeka na nnapenda pia
Napenda kupendwa aisee sababu napendeka na nnapenda pia
ok.. vipi perfomance ya wafupi kitandani? unaridhika nayo? na je, unafikiri na warefu wanawazidi?
kwa hiyo ukimpata mfupi mwenye mapenzi ya dhati uko tayar awe mumeo?
Wana jukwaa jumapili njema
Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?
Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.
Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?
Karibuni sana.
Nnaye tayari ndio nampango Wa kumuaga yan our couple kama ya aki na his wife coz am tall one hahahaa...am fade up I tried to love him but he is very difficult to be loved
Nnaye tayari ndio nampango Wa kumuaga yan our couple kama ya aki na his wife coz am tall one hahahaa...am fade up I tried to love him but he is very difficult to be loved
Hahahaaa Aki na Ukwa! Tema mate chini!
Hahahaaa Aki na Ukwa! Tema mate chini!
Na ni ugonjwa hasaaaaaaa. Manake hadi concentration huwa inapotea. Soooo yummy I could eat 'em whole!! Halafu asiwe kimbao kimbao.
ok.. love at the first sight ilikuwaje? nakuuliza hivyo ilikuwaje ukawa nae wakati ni mfupi?
Urefu wa nje unarandana na urefu wa ndani. Wanapenda kukunwa ndani kabisa ambapo vibamia havifiki.
sio wote urefu wa ni sawa na wa ndani wengine unakuta anakabamia karefu kdg lakini kembambaaa
wanamvuto sana hata mimi wanaume warefu penda sana wafupi maneno mengi na wanajifanya wanajua kila kitu.
Hahahahaa dah jamani mbona unanichallenge sana? I was child by that time nilikua Hata sijui what physical appearance ina work katika love na nilimpenda kweli , sasa nimekua na kutokana na tabia zake zakuudhi zikanifanya nimfanyie research.
Ongezea, presentable, confident na brilliant!