Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

kuna mdada nataka nimtawanye..! lols!

si mnamaind urefu na ublack.. sasa ngoja nioneshe mfano!
 
Being reserved is not naivety.

A little mystery is sexy, at least to me.

I like a man who disturbs my mind with curiosity, not an open book.

Mama, my guess is that all men are open minded, at least. Only that women in relationships tend to have complicated imaginations of, or sometimes, imaginations of complicated things which do not exist in the relationships with their counterparts! Anyway, not a theory, just my thought!
 
Last edited by a moderator:
Utamu wake tunaujua sie, hata nikijaribu kukuelezea hutanielewa, ukiongozana nae, akiwa anacheka, mkiwa mmekaa nnatazamana, raha iliyojee
Wana jukwaa jumapili njema

Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?

Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.

Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?

Karibuni sana.
 
teheeeeee!!! hapana chezeiya wanaume warefu weusi. hata awe maji ya kunde ila asiwe mweupe. ...
 
Back
Top Bottom