Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Hahahahahaaha... mbona nimekua muwazi mkuu, shida anayonipa ma short boyfriend imenifanya nichukie wanaume wafupi, thou sio wote ila wengi wao wanawivu, selfish na wanajiona superior not like tall men wapo very understandable

Ongezea, presentable, confident na brilliant!
 
kwa hiyo ukimpata mfupi mwenye mapenzi ya dhati uko tayar awe mumeo?

Nnaye tayari ndio nampango Wa kumuaga yan our couple kama ya aki na his wife coz am tall one hahahaa...am fade up I tried to love him but he is very difficult to be loved
 
Attachments

  • 1396183582886.jpg
    1396183582886.jpg
    24 KB · Views: 170
Wana jukwaa jumapili njema

Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?

Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.

Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?

Karibuni sana.

Inaonekana we mfupi ndugu
 
Nnaye tayari ndio nampango Wa kumuaga yan our couple kama ya aki na his wife coz am tall one hahahaa...am fade up I tried to love him but he is very difficult to be loved

Hahahaaa Aki na Ukwa! Tema mate chini!
 
Nnaye tayari ndio nampango Wa kumuaga yan our couple kama ya aki na his wife coz am tall one hahahaa...am fade up I tried to love him but he is very difficult to be loved

ok.. love at the first sight ilikuwaje? nakuuliza hivyo ilikuwaje ukawa nae wakati ni mfupi?
 
Na ni ugonjwa hasaaaaaaa. Manake hadi concentration huwa inapotea. Soooo yummy I could eat 'em whole!! Halafu asiwe kimbao kimbao.

hapo umesema awe na nyama kidogo za kushika ,....mmmmh so yummy
 
ok.. love at the first sight ilikuwaje? nakuuliza hivyo ilikuwaje ukawa nae wakati ni mfupi?

Hahahahaa dah jamani mbona unanichallenge sana? I was child by that time nilikua Hata sijui what physical appearance ina work katika love na nilimpenda kweli , sasa nimekua na kutokana na tabia zake zakuudhi zikanifanya nimfanyie research.
 
ok.. pamoja na mapungufu yake yote. ni nini unachofikiri unakipenda kutoka kwake sasa hivi ambacho siku ukiachana nae bado utakikumbuka?
 
Back
Top Bottom