Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Wana jukwaa jumapili njema

Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?

Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.

Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?

Karibuni sana.
Ungekuwa wa kike ningekwambia njoo nikuonjeshe
 
Mekumiss sana ewe mkaka mrefu mweusi....[emoji16] Habari za miaka tele
Nzuri sana! Glad you are around! Kama mwaka mpya vile[emoji8]

Sema urefu na weusi tunaumbiwa, fweza tunatafuta. Na nimejitafuta, nimejipata[emoji3]
 
Back
Top Bottom