Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Yan hapo cjui nisemeje lakn mwanaume mweusi then mrefu huhuhuhuuu ni noma aiseee yan hatar 2pu ni wazur sana
 
Wana jukwaa jumapili njema

Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?

Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.

Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?

Karibuni sana.

Are you sure of your claim?

Bring the DATA!!
 
Oshey mr 💰🤣
 
Back
Top Bottom