Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
then what are you waiting for?
hahahaha. Am waiting for him to make the first move. Taking the lead is becoming boring to this big girl.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
then what are you waiting for?
Mpe za uso hadi atapike dagaa mkuu.
Nimecheka sana mkuu. Hatari sana.kama wewe ni mrefu na mweusi jua unamaindiwa sana na wadada.
mkuu pole kwa kuwa mfupi.
Kiukweli mie ni mrefu mweusi wa kung'aa na unene kwa mbali kidogo. Huwa nasumbuliwa sana na wadada. Wengi hata tunakutana barabarani utasikia wanasema mkaka handsome kama wapo wawili au zaidi.
Hiyo nimefuatilia ninkweli dada zetu wanapenda sana watu wa namna hiyo.
wanamvuto sana hata mimi wanaume warefu penda sana wafupi maneno mengi na wanajifanya wanajua kila kitu.
Mkuu hakuna mganga wa kienyeji unaemjua anaweza kufanya adjustment ya urefu wa mtu nimzukie?
Uwiiiii kama ulikuwepo wanaume wafupi wanamaneno mengi mpaka kero jamani I have my short boyfriend yan nipo mbioni kumpa kibuni ananiudhi na is too much muongeaji
Don't generalize.
Urefu ni kigezo cha kwanza cha mvuto kwa mwanaume....
i dont believe in magic.Mkuu hakuna mganga wa kienyeji unaemjua anaweza kufanya adjustment ya urefu wa mtu nimzukie?
kwa kweli tumetofautiana. Mi mweupe simtaki aisee. I don't even notice them.Awe mrefu awe mfupi mradi tu kanizidi urefu kwangu hata akiwa mfupi kwa mwingine... muhimu sanaa awe mweupe.. akiwa mweusi hata awe kama hasheem thabit hata bure simtaki.
Mimi ni mrefu mweupe hb, ni pm upate raha.
kwa kweli tumetofautiana. Mi mweupe simtaki aisee. I don't even notice them.
i dont believe in magic.
Chunga maandishi yako!
They are sexually attractive...ila sio awe mrefu tu,basi kajazia flani hivi...