Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Nimecheka sana mkuu. Hatari sana.kama wewe ni mrefu na mweusi jua unamaindiwa sana na wadada.

Kiukweli mie ni mrefu mweusi wa kung'aa na unene kwa mbali kidogo. Huwa nasumbuliwa sana na wadada. Wengi hata tunakutana barabarani utasikia wanasema mkaka handsome kama wapo wawili au zaidi.
Hiyo nimefuatilia ninkweli dada zetu wanapenda sana watu wa namna hiyo.
 
Hongera sana mkuu kua mrefu.
 
wanamvuto sana hata mimi wanaume warefu penda sana wafupi maneno mengi na wanajifanya wanajua kila kitu.

Uwiiiii kama ulikuwepo wanaume wafupi wanamaneno mengi mpaka kero jamani I have my short boyfriend yan nipo mbioni kumpa kibuni ananiudhi na is too much muongeaji
 
Mkuu hakuna mganga wa kienyeji unaemjua anaweza kufanya adjustment ya urefu wa mtu nimzukie?

Make the best out of what you have. Be the best man you can be without seeking to please anyone. There is a reason God created us in different sizes. The woman who loves you sees beyond your height. She sees your inner beauty, the sweet soul that you are.

So sit back and relax. Size/height ain't everything.
 
Awe mrefu awe mfupi mradi tu kanizidi urefu kwangu hata akiwa mfupi kwa mwingine... muhimu sanaa awe mweupe.. akiwa mweusi hata awe kama hasheem thabit hata bure simtaki.
 
Awe mrefu awe mfupi mradi tu kanizidi urefu kwangu hata akiwa mfupi kwa mwingine... muhimu sanaa awe mweupe.. akiwa mweusi hata awe kama hasheem thabit hata bure simtaki.
kwa kweli tumetofautiana. Mi mweupe simtaki aisee. I don't even notice them.
 
They are sexually attractive...ila sio awe mrefu tu,basi kajazia flani hivi...

Kwa hivyo vigezo ukiniona lazima utanisalimia tu japo hiiiiii hata kama mie ndio nimekukuta somewhere!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom