Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,134
Enheeee!!!???
Hebu nikumbushe honey,niliangalia hii mambo kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enheeee!!!???
I used to like tall men
I used to like tall men
No guess work! !!!
Tall and Dark? Oh la laaaaaaaa.
Lazima niseme ssssss aaaaaaa.
Damn!
Nilikuwa sijui kwamba huwa mnani-mind kiasi hicho! Ngoja sasa nianze kufungulia dog
They are sexually attractive...ila sio awe mrefu tu,basi kajazia flani hivi...
Uwiiiii kama ulikuwepo wanaume wafupi wanamaneno mengi mpaka kero jamani I have my short boyfriend yan nipo mbioni kumpa kibuni ananiudhi na is too much muongeaji
Kwa hiyo we mdada umewapga chini umerudi kwa shotii?
Kumbe ndio maana kuna siku wadada wawili toka meza mbili tofauti walininunulia kinywaji kwa wakati mmoja! Nimeshajua sababu!
Not anymore wii........
wewe ni aje
jamani jamani wadada. wafupi hawakujiumba acheni hizo bana ndio mnasababisha wajione inferior
Hivi kumbe we sio mwanaume, suuuuu??!!
Swali la nyongeza mhe.Wanaume maji ya kunde nao vipi kwa wadada.