Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Anayekwambia mwanamke ukimpa much attention basi unampoteza, yuko sahihi lakini huyo anakuwa hakupendi. Shida ni kwamba wanaume tukishapenda tunashindwa au tunapuuzia red flags.

Anyway, mke wa kuoa sahau kama hutaki hawa simple women. Hawa ambao hawajui dunia inaenda wapi bado wanaishi kama 90's na hao hatuwataki.

Next time, jitahidi ujue past ya mke wako mtarajiwa. Jua rafiki zake, nini anataka kutoka kwako na je, anahitaji kupendwa kwa wakati huo unajitutumua? Myself, kwa niliypotia kwenye mahusiano siitaji kupendwa so hata unipende au kunijali vipi havina maana kwangu. Sasa kuna wanawake wapo kwenye hii mode. Wao wanachotaka ni cash.
 
wangu nilimpata bar...alikua mhudumu
 
Hili la kununiwa katikati ya vacation linanifanya nikutilie mashaka wewe mwenyewe na perfomance yako ya kitandani pamoja na namna ya kumhandel mwanamke muwapo falaghani!

Ni hayo tu, mambo mawili ya muhimu sana nadhani ndiyo yaliyokuangusha.

Mpo likizo badala ya kumshuhulikia kumfurahisha, wewe na misimu ya kikazi tu na kuchezea laptop na show yako hiyo ya tia maji-tia maji, kwa nini usinuniwe?

Umekiri mwenyewe kupenda zaidi kazi yako, kwa hiyo ulikalia lap top badala ya maongezi ya kimapenzi, jirekebishe.

Mi wa kwangu nilimpata kwa nongwa za vitisho.

Nilimtongoza akanitukana, nikaweka mazingira ya ushahidi nikamburuza serikali za mtaa.

Kufika Serikali za mtaa nikaisongesha Katani.

Katani nikaisongesha mahakamani.

Kabla sijaenda mahakamani nikatuma mamluki wangu kwake kumtisha namna atakavyodhalilika na hii kesi, maana anapambana na mtu wa Serikali.

Nikaona ametuma watu kumuombea msamaha na kuomba anilipe yaishe tusiende mahakamani.

Nikavimba kichwa nikakataa nikidai hiyo ni dharau kubwa sana mtu kutuma maombi ya msamaha kupitia kwa watu wengine, kwa nini asije mwenyewe kama anajutia kosa lake kweli?

Aliposikia hivyo akaanza kunitafuta mwenyewe ili tuyamalize.

Na aliponipata tuliyamaliza kweli, maana hadi leo tupo pamoja na wajukuu juu!

Kuna wanawake wengine mpaka uwe mbabe ndiyo anakuheshimu na kukupenda.
 
Huu hapa.
 
Usikute unatoka na maslay Queen au wanawake waliosoma madegree na masters , wa la Saba au form four huwataki , utapataje mke !??.
Wasomi wake wapo ila wachache lkn wa la Saba wamejaa telee.
 
I concur. Ama let my mum pick a wife for me. Am sure she cant go wrong
 
Mkuu mabinti hasa hawa wanaohisi ni warembo sana na wamepata kazi wana midenguo ya kishamba sana.
Kuna mmoja niliamua kuwa nae nikamute majanga yangu kwa muda nikamtreat kama mke katika kila angle, baada ya miezi kama mitatu akaanza kuleta mapichapicha ya kawaida.
Nilichokifanya ni kumuonesha rangi yangu halisi akagundua kumbe kuwa na mimi kwake ni bahati sio kama alivyodhani ila akawa tayari ashachelewa.
 
Pole na changamoto,
Kwanza mke hatafutwi,utampata kwa wakati ufaao,
Mimi si mzee ila vijana tunakosea sana,hatujui nani mke na nani kahaba wa kutoka nae tu,
Wanawake wanaooleka hata ukiwa nae katika mahusiano kwa muda mfupi tu ukafanikiwa kulala nae kwako zaid ya wiki unamjua,shida tunataka kulazimisha kahaba aoleke
Ushauri,
Relax na uondoke kwenye shinikizo ama tamaa za kutaka kuoa kwa muda
 
Usituharibie kijana tafadhali.
Nakaziaa!!! Ukwel mchungu kwa ma nice boys! Imenichkuaa mdaaa kukaelewa aka kamchezoo, ilaa nimerudisha kadi.. idont compromise my standards nowadays, anayetakaa kukaa anakaa, akifail kufataa standard n kuongeaa mara mbili tuu ya tatuu action na noo kugeukaa kufataa kilaa mwanamke achokuambiaa anakuonaa boyaa kishenzi utapelekeshwaa weee and at last unatemwaa kama taka taka, shtukaaa mzeei zielewee codes
# Learn the rules of the game and stick on them
 
Sasahv ingia kwenye mahusiano na madem wa tatu lazima utapa mmoja baada ya mchujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…