Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Kuna standard ya wanawake ulishajiwekea akilini mwako, na ndio hao wanakutesa.
Wake zetu tunapishana nao barabarani lakini hatuwazingatii.
Njia rahisi kabisa ambayo inaweza kukusaidia, kama una dada au ndugu wa kike unayependa tabia zake basi fanya naye urafiki uwe unamtoa out kwa sharti aje na marafiki zake wa kike. Maybe kuna mmoja anaweza kukufaa.
Kingine nenda kwenu huko mikoani uwe unatembelea ndugu na marafiki. Mtembea bure sio sawa na mkaa bure.

Nimemaliza.
Sisi tusiopenda kutoka sana si tutakosa waume Sasa😃
 
Back
Top Bottom