The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Kweli kabisa kuna manzi alikua amenielewa ila sababu ya kikaz na umbali, hatukuwahi kutana kiutu uzima.Dada zetu hao wanapenda bad boys,ila baadae sana baada ya kuumizwa na kutendwa na kuzalishwa wanaanza kutafuta good/nice boys,yaani hutafuta kitu ambacho mwanzoni walikuwa nacho na kukidharau.
Mwanangu wewe kaza concentrate na mambo yako mke atakuja mwenyewe na husibadilike kitabia,eti uwe bad boys kuwa hivyo hivyo ndivyo Mungu alivyo kuumba,unaweza ukasema uchange kidogo eti uwe bad boys ukaja kupotea mazima.
Honestly wanawake ni wa kuonewa huruma hawajawahi kujua wanacho kitaka, kuna mabinti wawili yaani ni majirani ambao tumekuwa kama ndugu,wamekuja kuzalishwa na watu wa hovyo, wakati kulikuwa na wana walikuwa wapo tayari kwa kila kitu, mmoja kazalishwa na muimba singeli,mwengine bodaboda, maana walikuwa wanataka bad boys na kweli wamepewa mabad boys kiwango cha lami.
Bro usiumie kichwa concentrate na mambo yako mke wako atakuja mwenyewe.Huyo mwache na mara nyingi huwaga na tabia ya kurudi na kujuta, nimesha shuhudia sana marafiki zangu,achana nae fanya mambo yako.
Mwaka jana namuona anapost mtoto, nikauliza nikajibiwa ni wake, kumuuliza baba wa mtoto yukowap ... akanipa kisa kuwa baba wa mtoto alikimbia alipojua anamimba... nikapotezea.
Nikakumbushia ahadi yetu vp ya kula tunda ananiambia niende kwao nikajitambulishe nimuoe kama namtaka.
Weeee sijai mgusia tena kula tunda lake tangia siku hiyo
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app