Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Sawa madam ngoja ni ku screen shot😅😅, nisisahau kabsaa najua nina wife huko kwenu.Mwaka huu na mwakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa madam ngoja ni ku screen shot😅😅, nisisahau kabsaa najua nina wife huko kwenu.Mwaka huu na mwakani
Tunatembea kidogo kidogo tukinyatanyata.......🚶♂️🚶♂️🚶♂️ ,hiyo laini mwisho ndio kusema PM ipo wazi.....Pole mkuu, mwenyewe niko kama wewe.Natamani niwe na familia yangu.Niwe na mume wangu mpendwa na watoto ila ndiyo hivyo mimi sitokagi ndani sijui huyo mume atakuja kunigongea mlango..
Ushauri.Ukitaka mke, don't be so desperate. They will take advantage of you.
Ukikosa kabisa,njoo tujaribishe .
makutupora Bolotoba oneni huyu ana omba ajira kwa raisi wa ma jobless 😂😃Wivu mama wivu😅😅
Mkuu tuajiri.
we boya, raisi wa ma jobless pro max hapingwi.Fala we haifai acha abak single milele
Kama hujatafuta solln, Jaribu kujiangalia nawew una kasoro gan???Hbr wana JF,
Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.
Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.
Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.
Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!
NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is needed
Hakuna ajira kwa Rais wa majobless promaxmakutupora Bolotoba oneni huyu ana omba ajira kwa raisi wa ma jobless 😂😃
Kidumu chama Cha ma jobless pro max 😂 🤣Hakuna ajira kwa Rais wa majobless promax
Labda apewe kadi awe mwanachama
Tutimize lengo la chama
Kidumu sanaaaaaaaaaaaaKidumu chama Cha ma jobless pro max 😂 🤣
😅Siku zote mwenye kitu hujifanya Hana while mwenye kitu hujifanya anachomakutupora Bolotoba oneni huyu ana omba ajira kwa raisi wa ma jobless 😂😃
🤣KidumuKidumu chama Cha ma jobless pro max 😂 🤣
Rudi kijijini kwenu, tafuta nurse au Mwalimu ajira mpya, kabla hawajamiliki smart phone, utanishukuru sanaHbr wana JF,
Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.
Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.
Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.
Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!
NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is needed
kwanini iwe nikikosa kabisa, mbona unajiweka last option hivyo kuna shida gani?!Pole mkuu, mwenyewe niko kama wewe.Natamani niwe na familia yangu.Niwe na mume wangu mpendwa na watoto ila ndiyo hivyo mimi sitokagi ndani sijui huyo mume atakuja kunigongea mlango..
Ushauri.Ukitaka mke, don't be so desperate. They will take advantage of you.
Ukikosa kabisa,njoo tujaribishe .
achana na misemo iliyo pitwa na muda, we boya 😂🤣😅Siku zote mwenye kitu hujifanya Hana while mwenye kitu hujifanya anacho
the game of psychologyNakaziaa!!! Ukwel mchungu kwa ma nice boys! Imenichkuaa mdaaa kukaelewa aka kamchezoo, ilaa nimerudisha kadi.. idont compromise my standards nowadays, anayetakaa kukaa anakaa, akifail kufataa standard n kuongeaa mara mbili tuu ya tatuu action na noo kugeukaa kufataa kilaa mwanamke achokuambiaa anakuonaa boyaa kishenzi utapelekeshwaa weee and at last unatemwaa kama taka taka, shtukaaa mzeei zielewee codes
# Learn the rules of the game and stick on them
Kijana unatafuta mwanamke jf na kipato chako ni dola 10achana na misemo iliyo pitwa na muda, we boya 😂🤣
Because I expect to get a husband that I desire through only Miracles.kwanini iwe nikikosa kabisa, mbona unajiweka last option hivyo kuna shida gani?!
Jichanganye wakupost na mishumaa kama fulaniwe boya, raisi wa ma jobless pro max hapingwi.
Zingua upasuke😂😃
huna ka kuni Tisha, ewe kubwa la manusu😂😂Jichanganye wakupost na mishumaa kama fulani
Naona unapita mule mule kama huyo alietanguliahuna ka kuni Tisha, ewe kubwa la manusu😂😂