Swali kwa Wana Simba, Je Uzi wa live Updates Wydad vs Simba niuanzishe lini?

Live Updates za Simba zina watu wake huwa wanaanzisha..
Wewe mambo ya Simba umetokana nayo wapi?
Zenu tu zilianzishwa mnazikimbia... Zinapoa hadi mfunge.
Mwarabu feki anataka kuwasaidia maana mmatia huruma
 
Uto Mna fujo sana, sijui ikitokea mkafika fainali tutaweka wapi nyuso zetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan tukiingia Semi, mtani nakuambiaje nitakua winja winja Hapa JF, km chizi kaona jalala jipyaa mjini.

Yaan acha tyuuh.
 
Naona ushaanza Teh teh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mtanii, kuna watu wananichanganyaaa hapa, sina amani kabisaa.

Nazodolewaa huku, tukishinda hata wazime cm nawafata m1 m1. Sitakubaliiiii mweeeeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mtanii, kuna watu wananichanganyaaa hapa, sina amani kabisaa.

Nazodolewaa huku, tukishinda hata wazime cm nawafata m1 m1. Sitakubaliiiii mweeeeeeh
Riraaaksi Mtani. 🤣🤣🤣 Riraaaksi
 
Riraaaksi Mtani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Riraaaksi
Mtaani nna moyoo eti, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ku rilaaaksiiii na venye hamnaa kweliii??

Wee kuwezaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtaani nna moyoo eti, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ku rilaaaksiiii na venye hamnaa kweliii??

Wee kuwezaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitahidi jitahidi 🤣🤣🤣

Mi naweza Mtani 🤣🤣 unakuta napitaga kama sijui kusoma vile 🤣🤣
 
Nyie milikua wadogo zaidi ya priton kwa Al hilal na aliwafurushaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mavi yakale hayanuki.. Ijumaa iyo hapo keshokutw mtajutaa mbwa nyie[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…