Swali kwa Wana Simba, Je Uzi wa live Updates Wydad vs Simba niuanzishe lini?

Swali kwa Wana Simba, Je Uzi wa live Updates Wydad vs Simba niuanzishe lini?

Uto Mna fujo sana, sijui ikitokea mkafika fainali tutaweka wapi nyuso zetu
 
Hahahahaa! Mtani usisahau huu mchezo auhitaji hasira lakini. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pia tuna uzi wetu Fans wa Waydad sijui kama umeuona nao nadhani kule ndo kitawakka. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani kama nawaona mtakavyojaa [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan tukiingia Semi, mtani nakuambiaje nitakua winja winja Hapa JF, km chizi kaona jalala jipyaa mjini.

Yaan acha tyuuh.
 
Naona ushaanza Teh teh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mtanii, kuna watu wananichanganyaaa hapa, sina amani kabisaa.

Nazodolewaa huku, tukishinda hata wazime cm nawafata m1 m1. Sitakubaliiiii mweeeeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mtanii, kuna watu wananichanganyaaa hapa, sina amani kabisaa.

Nazodolewaa huku, tukishinda hata wazime cm nawafata m1 m1. Sitakubaliiiii mweeeeeeh
Riraaaksi Mtani. 🤣🤣🤣 Riraaaksi
 
Riraaaksi Mtani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Riraaaksi
Mtaani nna moyoo eti, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ku rilaaaksiiii na venye hamnaa kweliii??

Wee kuwezaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtaani nna moyoo eti, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ku rilaaaksiiii na venye hamnaa kweliii??

Wee kuwezaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitahidi jitahidi 🤣🤣🤣

Mi naweza Mtani 🤣🤣 unakuta napitaga kama sijui kusoma vile 🤣🤣
 
Nyie milikua wadogo zaidi ya priton kwa Al hilal na aliwafurushaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mavi yakale hayanuki.. Ijumaa iyo hapo keshokutw mtajutaa mbwa nyie[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom