Swali kwa Wana Simba, Je Uzi wa live Updates Wydad vs Simba niuanzishe lini?

Hawa Mikia wamekuwa na kiherehere sana cha kuwahi kuanzisha nyuzi za live updates hata mechi zisizowahusu. Wanakaa kusubiria saa 6 usiku kuamkia siku ya mechi wanaanzisha Uzi.

Sasa nawauliza je hii mechi wanataanzisha Uzi lini? Kama hawawezi kuanzisha nawauliza Je Mimi mwarabu feki niwaanzishie uzi lini?
Leo leo mida ya jioni.
 
Hahahaa! Ndo mana nikasema ikitokea Mkuu.
Mpira huwa haudundi kwenye maji mkuu
JamiiForums-1920326074.jpg
 
Mtani achaa, tukiingia Semi, moderators wajiandae kudeal na mie, kwani kichaa changu kitakua Live hapa JF.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa! Mtani usisahau huu mchezo auhitaji hasira lakini. 🤣🤣🤣

Pia tuna uzi wetu Fans wa Waydad sijui kama umeuona nao nadhani kule ndo kitawakka. 🤣🤣🤣 Yaani kama nawaona mtakavyojaa 🤣🤣
 
Comments zikifika 50 Uzi unashushwa leo leo.. wanathimba msiniangushe[emoji23][emoji23]
 
Hawa Mikia wamekuwa na kiherehere sana cha kuwahi kuanzisha nyuzi za live updates hata mechi zisizowahusu. Wanakaa kusubiria saa 6 usiku kuamkia siku ya mechi wanaanzisha Uzi.

Sasa nawauliza je hii mechi wanataanzisha Uzi lini? Kama hawawezi kuanzisha nawauliza Je Mimi mwarabu feki niwaanzishie uzi lini?

IMG_8129.jpg
 
Anzisha ili wakujibu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom