mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #81
Basi tufanye 9-1[emoji23][emoji23][emoji23] yaani hii week mtapata tabu sana, mkisimama nchalee mkikaa nchaleeDuuh 17 tutake radhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tufanye 9-1[emoji23][emoji23][emoji23] yaani hii week mtapata tabu sana, mkisimama nchalee mkikaa nchaleeDuuh 17 tutake radhi
Matumizi mazuri ya manii yatajulikana ijumaa pale mwarabu atavyokumwagia za kutoshaUwepo wako duniani ni matumizi mabaya ya manii
Ombi lako limefanyiwa kazi. Saa Moja kamili usiku Uzi wa live updates Waydad vs mnyama utakuwa mubashara hapa jukwaani na sisi waarabu tunaseme sio tu tutawafunga bali tutawafunga goli za kumwaga 6+Leo kama hutaukimbia weekend ikifika weekend asiukimbie
JF moderators mtutolee huu upuuzi akianzisha...Ombi lako limefanyiwa kazi. Saa Moja kamili usiku Uzi wa live updates Waydad vs mnyama utakuwa mubashara hapa jukwaani na sisi waarabu tunaseme sio tu tutawafunga bali tutawafunga goli za kumwaga 6+
Halafu uje uchapwe home na Rivers sijui mtajifichia wapiOmbi lako limefanyiwa kazi. Saa Moja kamili usiku Uzi wa live updates Waydad vs mnyama utakuwa mubashara hapa jukwaani na sisi waarabu tunaseme sio tu tutawafunga bali tutawafunga goli za kumwaga 6+
Subiri siku ifike kijanaBasi tufanye 9-1[emoji23][emoji23][emoji23] yaani hii week mtapata tabu sana, mkisimama nchalee mkikaa nchalee
Wafanywe tu kama wanavofanywaga hao wengine .....Mpira huwa haudundi kwenye maji mkuuView attachment 2599274
Nasemaje lazima Uzi upande mpende msipende[emoji23][emoji23][emoji23]JF moderators mtutolee huu upuuzi akianzisha...
Wameshambwela Hawa[emoji23][emoji23][emoji23] 17-0 zinawahusuWafanywe tu kama wanavofanywaga hao wengine .....
Tulia wewe😁Mods tutoleeni huu upuuzi...live updates iwe live siku husika...kuepusha kujaza server zenu na upupu...
Yani nimeandaa mawe ya kutosha jifiche siku hyo...sijui utaficha wapi sura yakoTulia wewe😁
Mkuu we huwezi soma alama za nyakati? Rivers kachapwa 2-0 Nigeria, Anakuja kumaliziwa 9-0 Kwa Mkapa. Huu Mwaka Yanga inalipa visasi Kwa timu zote zilizokuwa zinainyanyasa huko kimataiafa, tulianza na waarabu wa Tunisia, tukaje Kwa Tp Mazembe, Sasa imefika zamu ya Rivers united na tunamwombea Pyramids atoboe naye akutane na kisasi chetu.Halafu uje uchapwe home na Rivers sijui mtajifichia wapi
Nasemaje mpende msipende lazima Uzi uanze Leo, Maoni ya wanasimba walio wengi lazima yaheshimiweMods tutoleeni huu upuuzi...live updates iwe live siku husika...kuepusha kujaza server zenu na upupu...
Ungesoma alama ungejua kuwa Rivers alishamfunga2 Wydadi kwao tafuta recordsMkuu we huwezi soma alama za nyakati? Rivers kachapwa 2-0 Nigeria, Anakuja kumaliziwa 9-0 Kwa Mkapa. Huu Mwaka Yanga inalipa visasi Kwa timu zote zilizokuwa zinainyanyasa huko kimataiafa, tulianza na waarabu wa Tunisia, tukaje Kwa Tp Mazembe, Sasa imefika zamu ya Rivers united na tunamwombea Pyramids atoboe naye akutane na kisasi chetu.
Kisasi ni haki hata Allah anajua
Watashindaje mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ilivyokuwa Jumapili mlipomwagiwa viwili vya kuunganisha. Ukakosekana au ulikuwa unajikanda au likizo fupi ya uzazi?Matumizi mazuri ya manii yatajulikana ijumaa pale mwarabu atavyokumwagia za kutosha