Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 910
Tumefarijika sana Na Maneno ya mkuu wa kiti Cha kutunza Amani ya JIJI la Dar es Salaam anayeikazia Na kuitekeleza Sheria ya Nchi Yetu.. Kamanda Alhaji Suleiman Kova, Kwamba Kutembea Na bint wa miaka 14 ni mambo Binafsi. Tunaamini hajaropoka ameongea kutokana Na tafsiri ya sheria anayoiongoza kuitekeleza..
Embu wanasheria tugongeleeni muhuri maneno hayo kisheria ili tuanze Kazi rasmi.. Watoto wa Shule Za msingi makinda hawa ukiwapa bukubuku uanajizolea Sita Saba Na ni mambo Binafsi.. Taabu hii ya usafiri wa jiji unavizia kila kakipiga mkono umekapakia Na mambo binafsi yanaendelea..!?mzee kova katufungua macho aisee ..
Tahadhari tu .. NIKUKUTE UMEMPAKIA MWANANGU KWENYE MKWECHE WAKO.. Potelea Mbali hata Kama ni lift ya kawaida hesabu tu Gari Huna..! Hilo ni angalizo hata Kama sheria Za nchi zinaruhusu mijibaba kuchongea penseli zao Kwenye vichongeo 14years sio pande hii. Pande hii sheria natunga Na kuzitekeleza mwenyewe. Tena ntachonga kofia Na kuiandika alama nyekundu X Na kumvika my lovely daughter. Ukimuona kimbia lasivyo utabomolewa anewei huyu ni Mimi maskini hao yatima Leo nchi inawakandamiza nchi hii itapona Kweli?!?
Embu tupeni vifungu wanasheria wetu.. Maana Leo nimeona lift nyingi kila Gari kabint kamejikunjia ndani.. wanavivipuya Kweli ..!?..

Mbaya zaidi kamanda Suleiman Kova anaiita jinai ni swala binafsi, hili linakera. Katika jeshi hakuna cheo bali majukumu na majukumu haya huendana na weledi wa mhusika, kwa hadhi ya CP nilitegemea afande Kova ni mtu wa weledi wa hali ya juu na pasipo shaka anaitambua The Sexual Offences Special Provisions Act(1998) ambayo inatamka kuwa hakuna ridhaa ya binti wa chini ya miaka 18 sembuse mwanafunzi kufanya mapenzi na mwanamume yeyote yule and specifically mazingira yanayosimuliwa katika mkasa mzima wa ndugu Kapuya. Sheria hii inaondoa hali zote za ridhaa ya wawili na kutamka kuwa ni ubakaji. Kamwe ubakaji haujapata na hautapata kuwa ni swala binafsi. Si kuwa nasema pasipo shaka kwamba ndugu Juma Kapuya mbunge wa Urambo ya Magharibi na profesa wa botania amembaka binti wa miaka kumi na minne(14), hapana, ninachokisema ni kuwa jeshi la polisi litimize wajibu wake wa kuchunguza jinai kwa mamlaka lilopewa ili haki si tu itendeke bali pia ionekane kutendeka.