SWALI Kwa WANASHERIA.. Kutembea Na 14years old girl ni Kosa..!

SWALI Kwa WANASHERIA.. Kutembea Na 14years old girl ni Kosa..!

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
910
Tumefarijika sana Na Maneno ya mkuu wa kiti Cha kutunza Amani ya JIJI la Dar es Salaam anayeikazia Na kuitekeleza Sheria ya Nchi Yetu.. Kamanda Alhaji Suleiman Kova, Kwamba Kutembea Na bint wa miaka 14 ni mambo Binafsi. Tunaamini hajaropoka ameongea kutokana Na tafsiri ya sheria anayoiongoza kuitekeleza..

Embu wanasheria tugongeleeni muhuri maneno hayo kisheria ili tuanze Kazi rasmi.. Watoto wa Shule Za msingi makinda hawa ukiwapa bukubuku uanajizolea Sita Saba Na ni mambo Binafsi.. Taabu hii ya usafiri wa jiji unavizia kila kakipiga mkono umekapakia Na mambo binafsi yanaendelea..!?mzee kova katufungua macho aisee ..

Tahadhari tu .. NIKUKUTE UMEMPAKIA MWANANGU KWENYE MKWECHE WAKO.. Potelea Mbali hata Kama ni lift ya kawaida hesabu tu Gari Huna..! Hilo ni angalizo hata Kama sheria Za nchi zinaruhusu mijibaba kuchongea penseli zao Kwenye vichongeo 14years sio pande hii. Pande hii sheria natunga Na kuzitekeleza mwenyewe. Tena ntachonga kofia Na kuiandika alama nyekundu X Na kumvika my lovely daughter. Ukimuona kimbia lasivyo utabomolewa anewei huyu ni Mimi maskini hao yatima Leo nchi inawakandamiza nchi hii itapona Kweli?!?

Embu tupeni vifungu wanasheria wetu.. Maana Leo nimeona lift nyingi kila Gari kabint kamejikunjia ndani.. wanavivipuya Kweli ..!?..
Mbaya zaidi kamanda Suleiman Kova anaiita jinai ni swala binafsi, hili linakera. Katika jeshi hakuna cheo bali majukumu na majukumu haya huendana na weledi wa mhusika, kwa hadhi ya CP nilitegemea afande Kova ni mtu wa weledi wa hali ya juu na pasipo shaka anaitambua The Sexual Offences Special Provisions Act(1998) ambayo inatamka kuwa hakuna ridhaa ya binti wa chini ya miaka 18 sembuse mwanafunzi kufanya mapenzi na mwanamume yeyote yule and specifically mazingira yanayosimuliwa katika mkasa mzima wa ndugu Kapuya. Sheria hii inaondoa hali zote za ridhaa ya wawili na kutamka kuwa ni ubakaji. Kamwe ubakaji haujapata na hautapata kuwa ni swala binafsi. Si kuwa nasema pasipo shaka kwamba ndugu Juma Kapuya mbunge wa Urambo ya Magharibi na profesa wa botania amembaka binti wa miaka kumi na minne(14), hapana, ninachokisema ni kuwa jeshi la polisi litimize wajibu wake wa kuchunguza jinai kwa mamlaka lilopewa ili haki si tu itendeke bali pia ionekane kutendeka.
 
Unless kama binti anasoma lakini kwa mujibu wa sheria kama binti hasomi sio kosa.
 
there is a lot of.water which passed under the bridge unnoticed, je huyo dada alidemand more money na alikuwa na ajenda other than justice, how can you prove ubakaji katika mazingira hayo, the whole evidence is tainted, no medical proof, just mere words and political intention over the whole matter, ana ushahidi gani ambao ni watertight? ni maneno ya giraffe hotel, mara akalia,mara akapewa laki ngapi,
 
wahudumu wa girrafe hotel waliingiza kitu? jamani tutafute hela za halali, au na yeye alipinga uchifu wa unyamwezini aliopewa mmasai ndio character assassination imeanza?
 
Unaruhusiwa kumuoa lakini kufanya mapenzi ni kuanzia miaka 18.

Usiniulize HOW, waulize watinga sheria...
 
Tumefarijika sana Na Maneno ya mkuu wa kiti Cha kutunza Amani ya JIJI la Dar es Salaam anayeikazia Na kuitekeleza Sheria ya Nchi Yetu.. Kamanda Alhaji Suleiman Kova, Kwamba Kutembea Na bint wa miaka 14 ni mambo Binafsi. Tunaamini hajaropoka ameongea kutokana Na tafsiri ya sheria anayoiongoza kuitekeleza..

Embu wanasheria tugongeleeni muhuri maneno hayo kisheria ili tuanze Kazi rasmi.. Watoto wa Shule Za msingi makinda hawa ukiwapa bukubuku uanajizolea Sita Saba Na ni mambo Binafsi.. Taabu hii ya usafiri wa jiji unavizia kila kakipiga mkono umekapakia Na mambo binafsi yanaendelea..!?mzee kova katufungua macho aisee ..

Tahadhari tu .. NIKUKUTE UMEMPAKIA MWANANGU KWENYE MKWECHE WAKO.. Potelea Mbali hata Kama ni lift ya kawaida hesabu tu Gari Huna..! Hilo ni angalizo hata Kama sheria Za nchi zinaruhusu mijibaba kuchongea penseli zao Kwenye vichongeo 14years sio pande hii. Pande hii sheria natunga Na kuzitekeleza mwenyewe. Tena ntachonga kofia Na kuiandika alama nyekundu X Na kumvika my lovely daughter. Ukimuona kimbia lasivyo utabomolewa anewei huyu ni Mimi maskini hao yatima Leo nchi inawakandamiza nchi hii itapona Kweli?!?

Embu tupeni vifungu wanasheria wetu.. Maana Leo nimeona lift nyingi kila Gari kabint kamejikunjia ndani.. wanavivipuya Kweli ..!?..
Kaka nimependa sana,yaani mimi natwanga risasi.
 
Unless kama binti anasoma lakini kwa mujibu wa sheria kama binti hasomi sio kosa.

Sheria ya nchi gn mtani?umefikiri kabla ya kujibu ndo umekurupuka km mzee wa MAMBO BINAFSI aaaarrrgh mnakera na majibu bila hoja.
 
Sasa Wakuu, Kisheria Mtu Atahesabiwa Kubaka Iwapo; Aliyebakwa Hakuwa Mke Wake Ama Walitengana Na Akampuya Pasipo Idhini Yake, Kwa Idhini Yake Lakini Kwa Vitisho Ama Kwa Kumtishia Kifo, Kwa Idhini Yake Lakini Kama Hakuwa Katika Umri Unao Mruhusu Kutoa Maamuzi Ama Kama Aliwekewa Dawa Ama Pombe, KWA IDHINI AMA KWA KUTO KUWA NA IDHINI YAKE WAKATI YEYE MBAKWAJI AKIWA NA UMRI WA CHINI YA MIAKA KUMI NA NANE VINGINEVYO Ni Mke Wake Wa Miaka Kumi Na Tano Ama Zaidi Na Hawaja Tengana. [ Cap 16 Sec130{2} A, B, C, E,] Na Kuna Katika Kifungu Cha 3 , A, Kama Mtu Akatumia Nafasi Yake Ya Mamlaka Ama Faida Ya Nafasi Yake Ya Kiofisi Na Kufanya UPUYAJI, Basi Atahukumiwa Kufungwa Maisha Kwa Mujibu Wa {Cap 16 Section131 [1] }
 
Sheria ya nchi gn mtani?umefikiri kabla ya kujibu ndo umekurupuka km mzee wa MAMBO BINAFSI aaaarrrgh mnakera na majibu bila hoja.
Mtafute mwanasheria unayemwamini kuliko wote kisha muulize then uje tena ufute kauli yako.
 
Na Si Mambo Binafsi Jamaa Katishia Kujiua Inabidi Aende Jela Maisha, Katishia Kuuua Inabidi Aende Jela Maisha Pia, Tena Anapaswa Ahukumiwe Kwa Usambazaji Wa Madawa Ya Kulevya! Hii Si Ishu Binafsi Kova Hajui Sheria Mbona Aliwahi Sema Kutembea Na Pingu Ni Climinal Case, Kasoma Wapi Mtu Huyu?
 
Back
Top Bottom