johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ukweli upi mkuu ?Shetani alimwambia ukweli!
Hakumdanganya
Chama Cha MashetaniInadaiwa Shetani alimdanganya Eva pale katika bustani ya Eden, alimdanganya nini?
Ni nani aliyemuambia Adam kwamba yu uchi baada ya kula tunda alilokatazwa na Mungu asile?
Yawezekana shetani anasingiziwa mengi.
Maoni na Majawabu tafadhali!
CCM ni baba na mama wa uongo.Inadaiwa Shetani alimdanganya Eva pale katika bustani ya Eden, alimdanganya nini?
Ni nani aliyemuambia Adam kwamba yu uchi baada ya kula tunda alilokatazwa na Mungu asile?
Yawezekana shetani anasingiziwa mengi.
Maoni na Majawabu tafadhali!
Ndio binadamu haoChama Cha Mashetani
Magufuli alikuwa janga la Taifa!Ndio binadamu hao
Ufipa st ni HatariKuna wanasiasa ni waongo shetani akalale.
Chama cha MambuziInadaiwa Shetani alimdanganya Eva pale katika bustani ya Eden, alimdanganya nini?
Ni nani aliyemuambia Adam kwamba yu uchi baada ya kula tunda alilokatazwa na Mungu asile?
Yawezekana shetani anasingiziwa mengi.
Maoni na Majawabu tafadhali!