Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single .

Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim .

Je. wewe unaweza tishia?

81B18194-CFE5-4848-95B7-231D89CC7976.jpeg
DC38B9E0-5DAA-4C1E-AFD8-594C4B293D57.jpeg
592BE9EA-56DE-49B1-91B9-844FC764834E.jpeg
 
Kanye west tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single .Kanye anatishia kumuua Huyo boyfriend wa Kim .Je wewe unaweza tishia
Maamuzi yako yanakwenda kutokana na mapito yako ktk maisha, cv tuliokula chumvi nyingi na tushachakata papuchi nyingi wala hatushangai kwanza kunapenda nusu nusu, una michepuko minne hapo kila mmoja upendo kwa ni 20% na hizo nyingine umeweka akiba kama akitokea mwingine unampatia bila kashida chochote
 
Inategemea Kama nimeachwa halafu bado limbwata linafanya kazi lazima nifanye unyama lakini Kama upendo umekuwa mapengo nami nitajisikia hivyohivyo kimapengomapengo.
Aisee
 
Mchizi anampenda Sana yule dem alaf dizain Kam Kim ameshamove on yupo na maisha yke mengine kbs, alichokosea Kanye ni kuingia kweny mahusiano baada tu yakubreak up na Kim angechill kdgo uwenda angepata kilicho Bora zaidi
 
Back
Top Bottom