Dawa ya mwanamke Ni mwanamke mwenzie,
Ningelikua Kanyewest,
Soon TU tumeachana kahamia kwa mwingine na anajimwambafai sana na ilo penzi lake jipya.
Kwanza
Ningetembea na rafiki yake mkubwa wa kike (shosti yake) na Kim Kardashian.
Pili,
Nikiona jeuri inazidi,
Nahamia kwa mdogo wake wa damu tena tumbo moja na Kardashian.
Tatu,
Jeuri ikivuka kabisa mipaka,
Nahamia Moja kwa Moja na mama yake mzazi.
BAADA YA HAPO, Akikaa akatulia.
LAZIMA AJUTIE KABISA KUKUTANA NA KIUMBE KAMA MIMI MAISHANI MWAKE [emoji3525]