Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

Jamaa kadata2 sio kimtindo kuna siku alipita nje kwa kina kim ili amuone huko kavaa kama mti yaani ananificha na mti anapita ili wasimjue
 
Kamuacha julia now ana chombo kipya kinafanana na kim kidogo sura
 
Haya ni mateso ya kujitakia kwa kweli....yaani una mihela alafu unasumbuliwa na mbususu moja tuu. Aisee mie na umaskini wangu wa bodadboda bado sijafikia huo ujinga....sasa siku nikizifumania hizo hela mbona mswati akasome😂😂😂😂
 
Kutishia haitakusaidia kwa lolote, ila sitamsahau mbwa yule kwa mapenzi na miuno aliyokuwa ananikatikia mpuuzi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wooooyoooo
 
Haya ni mateso ya kujitakia kwa kweli....yaani una mihela alafu unasumbuliwa na mbususu moja tuu. Aisee mie na umaskini wangu wa bodadboda bado sijafikia huo ujinga....sasa siku nikizifumania hizo hela mbona mswati akasome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ujue mapenzi nyoko....ukimpata mbabe wako utakoma mbonaa[emoji28][emoji28]
 
Maamuzi yako yanakwenda kutokana na mapito yako ktk maisha, cv tuliokula chumvi nyingi na tushachakata papuchi nyingi wala hatushangai kwanza kunapenda nusu nusu, una michepuko minne hapo kila mmoja upendo kwa ni 20% na hizo nyingine umeweka akiba kama akitokea mwingine unampatia bila kashida chochote
Mkeo unampenda kwa % ngapi ?
 
Kanye anateseka ndg yetu vile Mental Health yake haiko sawa atapelekwa mirembe ya kizungu
 
Binkubwa ukimaanisha nani..mama yako au[emoji16]
Ndio hivyo...mapenzi ya kweli yapo kwa mama. Haya ya wanawake wengini ni kulingana nanhali yako ya uchi kwa wakati huo
 
Mapenzi yanaumiza Kwa muda tu... Pindi unapopata kama ya Kanye fanye immediately replacement ili kutuliza maumivu ya moyo. Time heals.
 
Haya ni mateso ya kujitakia kwa kweli....yaani una mihela alafu unasumbuliwa na mbususu moja tuu. Aisee mie na umaskini wangu wa bodadboda bado sijafikia huo ujinga....sasa siku nikizifumania hizo hela mbona mswati akasome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro ni mapenzi tu haya mambo hayana cha tajiri wala maskini...unaeza mpenda mtu na una mihela kibao kwngine utaenda kujifurahisha tu lakini mapenzi yako unakuta yapo kwa mmoja tu huwa inatokea hii kitu
 
Bwanawee tusidanganyane kabisaaaa!! Wote humu tumewahi kupenda na kupendwa....mapenzi yanauma km zaidi ya kidonda jamani mweee!! Hulaliiii!!! Hata ukilala ukiamka tu mawazo ni kwa yuleee!! Aliyekuacha...... rose joshua ama zako popote ulipo ulinitesa sana....huo ndo ukweli!!! Hasa ukikumbuka yale mauno ndo kabisaaaa!!!jamani nyie?heee!!!...mapenzi mie bana hataa staki kuyasikia.....cha kufia?? 👙😠😠😂aende salama..tena nikiingia sionyeshi upendo....ke atanitesa maksudi akijua...ke wajinga sana tena wanatukomoa!! hasa akiwa na papuchi yenye nyama! kubwa! mfinyio!...anaziachia naniliu znyeusiiii.halafualafu yeye mweupe. ebu piga picha eti zinakua kubwa ili uchanganyikiwe vizuri!!
mie hawa hata staki kuwasikia...mashetani.
 
Mapenzi yanaumiza Kwa muda tu... Pindi unapopata kama ya Kanye fanye immediately replacement ili kutuliza maumivu ya moyo. Time heals.
hapa ndo usijidanganye kabisaa....wewe sikia kuwa mpole ili umsogeze karibu na ili wewe upone...
Tafuta kwa siri mzuri zaidi yake..Itachukua muda hii....ambaye unampenda kwa dhati ikibidi mdogo zaidi yake...mzalishe then aliye kutenda muache ghafla ila uwe makini anaweza kuwaua!! Kwa jinsi mapenzi yanavouma....usichezee haya maeneo penzi km unataka maisha marefuuu....
 
Huwa tunaumia kwa kweli. Ni kama vile Russia alipoachana na mke wake Ukraine. Sasa Russia roho inamuuma kuona Ex wake anavyonawili . wivu umemjaa amegeuka kuwa kanye west .
 
Seems humjui Kanye vizuri !!
Kanye anatumia issue ya divorce na Kim ili iendelee kumpa stunts za kibiashara , mziki wa Kanye na biashara zake unaendeshwa kwa matukio ndio maana unaona kila kukicha haachi kuja na vibweka ili aendelee kufuatiliwa
 
Maamuzi yako yanakwenda kutokana na mapito yako ktk maisha, cv tuliokula chumvi nyingi na tushachakata papuchi nyingi wala hatushangai kwanza kunapenda nusu nusu, una michepuko minne hapo kila mmoja upendo kwa ni 20% na hizo nyingine umeweka akiba kama akitokea mwingine unampatia bila kashida chochote
Nakazia [emoji457]
 
Back
Top Bottom