Zeemadeit
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 830
- 1,673
- Thread starter
- #101
Kuna jamaa aliwahi kuandika humu alikuwa Mbeya kikazi wakati wa kibaridi kule. Jamaa akaamua kukamata bidada wale wauzaji. Jamaa anadai yeye ni viwili tu hataki tena lakini usiku ule alikula na kula karibu usiku wote hadi mwenyewe akajishangaa sana uwezo huo kautoa wapi. Jamaa anadai aligundua yule mrembo ana ngozi nyororo kama ya mtoto. Siku ya pili akaenda kumtafuta tena HOLAA! Akasema alikuwa yuko tayari kumbeba yule bidada ili kurudi naye Dar na kama angetulia asingeona shida kumfanya mkewe.
Baridi wala haikuhusika kwani wauzaji wengine hakuwafurahia kama yule wa kwanza.
Wanawake watamu wapo na utamu huo huwa kwa kila ME si ME mmoja mmoja tu.
Nmekuelewa BAK.Ila hapo pa kurudia tendo mara tatu mara nne Kwa usiku mmoja kila siku kwa mwanamke mnaeishi nae kila siku inawezekana?.