DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Awe na mafuta sehemu husika , kiunoni apana wala kwenye mikono wala mashavu , mafuta ya shuke kwenye kalio mapajan kidogo na miguu ishibe .
😀😀😀au basiAwe na mafuta sehemu husika , kiunoni apana wala kwenye mikono wala mashavu , mafuta ya shuke kwenye kalio mapajan kidogo na miguu ishibe .
Kuna nini mkuu?[emoji3][emoji3][emoji3]au basi
Japo miguu ni asili ila kuna mazoez ya kufanya mwanamke awe na miguu mizuriKwahiyo siye wenye miguu chupa ya soda tukimbilie wapi?
🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha Betina na nani sijui yule...mama angu alikuwa anapenda sana zile katuni
Nyama ziendane na miguu , nyama nyingi bila miguu anakua kama kinu.Long tym sana Zena na Betina.
Ugali Kidogo NYAMA NYINGI.
Sure.Weee, usiniambie [emoji15] nianze zoezi kesho
Plus Awe na ka sura fulani hivi dahh! Sio sura za baba !