Swali kwa wanaume?

Swali kwa wanaume?

IMG_4723.jpg

Mniue tu uku sitoki[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Je,mama mjengo(mke) unapenda mwenye Mwili wenye mafuta au kaukau?

Na kwanini?
Aise niseme ukweli, wote kuna mwanamke mwili na anapendeza na kutia amsha amsha na mwili (mafuta yake) na kuna mwanamke unakuta kakauka na aloo anatia amsha kwa umodel wake. Kimsingi kila mwanamke kaumwba kupendeza kwa namna yake.

Ni sawa na kuniuliza nyama choma na nyama ya kukaanga ipi inabamba, jibu ni zote ziko poa inategemea na mood.
 
Back
Top Bottom