Rayvanny wa jamiiForums
Senior Member
- Apr 7, 2023
- 132
- 351
- Thread starter
- #361
Msitongozane kwenye post yangu Ngoja nifute post yangu🤣🤣🤣 safi kabisa
#nyumayapazia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msitongozane kwenye post yangu Ngoja nifute post yangu🤣🤣🤣 safi kabisa
Nimtongoze mara ngapi rafiki?🤣Msitongozane kwenye post yangu Ngoja nifute post yangu
#nyumayapazia
Hivi huyo smart unaye mtag kila comment ni nani yako?
Mwarabu koko ana sifa gani bestNdio mie ni mwarabu koko sio official
Wakupe sanamu lakoHili swali kila siku jamani?
Mweusi, mwembamba, mrefu kiasi sio ngongoti na akiwa na akili nyingi ni added advantage.
Ndio kaka mzuri huyo mwenyewe, ah mi niuliwe tu!
Sio koko ni og siwezi koko mieMwarabu koko ana sifa gani best
Una hoja ...usikilizwe....wanatuonea wivu...mwanamke Kila kizur anataka kiwe chake...ni viumbe wenye wivu na ubinafsi kama honey burgerKiuhalisia ni nadra sana mwanamke kumpenda mwanaume mweupe.
Yaani unakuta mwanaume ana rangi ya mtume inawakawaka kuliko mwanamke, hawezi akampenda ataonyesha kumchukia kwa sababu anaona mwanaume kabarikiwa vitu ambavyo yeye mwanamke ndo anatamani angekuwa navyo hapo lazima aonyeshe chuki inayochangiwa na wivu.
We jiulize kwa nini wanapishana kwenye maduka ya vipodozi wanatumia gharama kuutafuta muonekana ambao mwanaume mweupe anao bure, lazima kuwe na bifu hapo, wataishia oooh nataka mwanaume mweusi mreu, ila wanapenda watoto wawe weupe, mwanamke akiwa na mtoto mweusi huwezi ukaona anapiga nae picha nakuuza sura mtandaoni.
Demu anakutana na mwanaume mweupe handsome ana nuru ya sura yaani kiufupi mwanaume mzuri kuliko demu afu unategemea demu ampende, mademu wenyewe wao kwa wao huwa wanaoneana wivu akikutana na wanawake wenye mvuto zaidi yake ndo maana utawaona wanapotembea huwa ni kimagrupu, grupu hili sura za wajomba, hawa sura za baba, hawa wenye unafuu, na pisi kali nao huwa wanajitenga wenye mvuto unaofanana kuepusha jealous na bifu kwa wale mvutoless.
Kwa experience yangu wanawake wenye pigo za napenda mwanaume mweusi mrefu, wengi wao huwa hawana mvuto afu wana trauma ya kutotongozwa, ama kusimamishwa njiani kuombwa namba na mahandsome enzi za usichana wao, hivyo wanapsychological effect inayopelekea chuki kwa mahandsome mawaiti wanawaita mabishoo si unajua mabishoo wanapendaga pisi za kwenda afu huwa hazipingi.
Kwani wewe ni cheupe?Hapa ukifuatilia kwa jicho la tatu kuna bifu wadada wamelitengeneza dhidi ya wanaume weupe wenye sura za mama kwasababu wanahisi wao ndiyo wanastahili kuwa na rangi nyeupe na sio wanaume.
Sasa unakuta mwanamke mweusi kama lami halafu anakutana na mwanaume mweupe unadhani atafurahi?
Matokeo yake ndiyo haya utasikia mdomoni anasema mwanaume mweusi ndiye chaguo lake lakini moyoni anamhitaji mwanaume mweupe ili wazae watoto weupe wenye kuvutia.
so wanna say you're a sapiosexual, aren't ya?Mimi hicho ndio kigezo changu kikuu, akili!
Absolutely right, I'm the one.so wanna say you're a sapiosexual, aren't ya?
good, I like ya!Absolutely right, I'm the one.
tushawasomaga sema tunakausha tu, huku mtandaoni anasema NO ila tukikutana kwenye chocho ye ndo anakulazimisha useme YESUna hoja ...usikilizwe....wanatuonea wivu...mwanamke Kila kizur anataka kiwe chake...ni viumbe wenye wivu na ubinafsi kama honey burger
Kwani dada ww unapenda mwanaume wa aina ganiKatika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo.
Sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi.
ANaesema anapenda mweusi mrefu hajakutana na uyo mfupi mweupe akaona ana nini[emoji41]mimi pia nilikuaga ivoivo but siku niliponasa kwa kijana mfupi mweupe pee[emoji1]aah nilienjoy mapenzi tulikaa miaka 3 thow, yaan tuliendana kwa kila kitu alijua kuniloga..mimi niwakubebewa mkoba kweli? Mm wakukisiwa hadharani hahaa t wz drm cm tr.
Kutaka mtoto kabla ya ndoa kulitutenganisha.